Hoja binafsi!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,430
1,250
Ndugu watanzania!

Hoja yangu ni fupi sana, wala sihitaji kutumia nguvu nyingi sana. Nayo ni kuhusu lugha ya kiingereza. Lugha hii ina maneno mazuri sana yaliyoshiba na kujitosheleza kuliko hata kiswahili chetu. Fuatilia kiingereza kinavyojitosheleza katika kuelezea wasifu wa mandela pale madiba live katika channeli mbalimbali za kibongo. Halafu ulinganishe na kiswahili kilichokuwa kinatumika juzi na rais JK pale kenya kwenye 50th anniversary ya kenya. Kiswahili imeshindwa kujitosheleza kabisa. Mifano ni mingi sana.

NAWAASA WATANZANIA TUIPIGANIE KIINGEREZA IINGIE KWENYE KATIBA MPYA. TUWE NA LUGHA MBILI ZA KITAIFA YAANI KIINGEREZA NA KISWAHILI. Kiingereza kiwe lugha ya kibiashara na kiswahili kiwe lugha ya wazawa, na katiba itamke hivyo straight kabisa. Otherwise tunaachwa nyuma sana. Hata mtu tapeli tapeli asieleweka anaitwa mswahili.

MODS:
PLEASE huu uzi msipeleke jukwaa la lugha wala la katiba mpya. Hapa ulipo ndio sehemu yake sahihi maana siasa ndio kikwazo cha hii hoja yangu. NAWAOMBENI SANA.

Ahsanteni sana kwa kunielewa.
 
Nguna

Member
Jun 12, 2013
62
0

umejuaje kama tumekuelewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom