Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

Bunhe limeahirishwa baada ya Mbunge wa Singida Mashariki Kuomba Muongozo wa Bunge kupewa muda wa kutosha na kupata fursa ya kujadili! Zitto aliunga mkono hoja hiyo na hatimaye bunge kuairishwa na kamati ya uongozi kukaa na kulifanyia uamuzi jambo hilo.

Hizi thread zingine zimejaa unafiki kulikuwa na haja gani ya kuandika kuwa Zitto aliunga mkono hapa unamaanisha nini kama sio unafiki.
 
Zitto ameliteka vipi bunge? Mbona wabunge wote wameongelea suala hilo kwa uzito wa hali ya juu ili bunge liahirishwe kujadili suala hili? Baadhi yao Kangi Lugola, Laizer...
 
unadhani mbowe angeweza kutoa hoja kama aliyotoa zitto?
Mkuu, hata Mwanasheria wao Tundu Lisu ameshindwa kabisa kujenga hoja licha ya kutoka na mapovu huku akipepesa kichwa chake kama kawaida
 
Aliekinukisha ni zito,baada ya kuongea tu bunge lisitishwe kwa nusu saa ndo akawapandisha mori wabunge hadi ndugai akasitisha bunge kwa nusu saa.
 
Back
Top Bottom