Mnyiramba;iramba magharibu...

KaziIendelee

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
327
229
Dr Kitila Mkumbo nakuomba u comment hapa jukwaani....,2015 unakuja kuchukua jimbo au la.Nasema hivi kwasababu nimechoshwa na upuuzi unaofanywa na MWIGULU NCHEMBA,ANAKIMBILIA UMAARUFU WA KISIASA JIMBO LINA MATATIZO KIBAO.

Sent from Ndago.
 
Bora mwendelee na huyo huyo mwigulu wenu kuliko huyu Doctor uchwara.
 
kwani mbadala wa Nchemba ni Kitila peke yake? Mimi naona Iramba inawatu wengi sana wenye uwezo wa kuwasaidia wanaIramba kuliko hata Kitila.
 
Dr Kitila Mkumbo nakuomba u comment hapa jukwaani....,2015 unakuja kuchukua jimbo au la.Nasema hivi kwasababu nimechoshwa na upuuzi unaofanywa na MWIGULU NCHEMBA,ANAKIMBILIA UMAARUFU WA KISIASA JIMBO LINA MATATIZO KIBAO.

Sent from Ndago.

Si ungemtafuta kwenye PM, au namba yake ya simu. Na hili nalo unalianzishia thread? Au ndio umeshakunywa mtukuru?
 
Back
Top Bottom