Kwa sasa nchini kuna jamii iliyopokea kaulimbiu za kuwa mjanja, full kujirusha, chizika, fasta-fasta na nyingine alizoita za kupumbaza, jamii ambayo mwizi wa kuku anaweza kuuawa lakini mwizi wa mali ya umma akachaguliwa kuwa mbunge, jamii hiyo haiwezi kuandaa Katiba mpya inayotarajiwa.
Je hii...
huyo usimlaumu ndio sawa na wale unaokutana nao wanaongea kama wamemeza tape hata ile tunayo sema from the horses mouth sio hivyo .
lakini labda ni mmoja ya wanaovutiwa ka kimoja kati ya hivyo!
Halafu pia waacheni wale wasiojua matumizi ya pesa waonyeshwe matumizi sasa we kusugulisha na...
Hii tiba mbadala au simuliteneous tiba huyo darlingtone ana jambo zuri sana la tiba mbadala aliwahi kusikia zaidi labda na kwingine atueleze tupate nasi ikitokea make iringa mbali
mbona open space bado nyingi zimeingiliwa hasa ile ya pale ddc keko karibu na backery jamaa amejenga petrol station (filling station) sasa na nilisha tuma ripoti anza kazi mama
kuna idadi ya mwisho pia ya kupangiwa wabunge nadhani si tu kuhamisha nadhani kama sijakosea kila jimbo linatakiwa kuwa na mbuge maaalumu asiezidi mmoja na wakula mmoja
tunahitaji umeme sio tu mikataba mikataba kila siku harafu ikianza kazi inakuwa mimba tena sasa isije kuwa richmond nyungine sasa we aseme umeme umeanza kuzalishwa hiyo ndo kiu yetu sisi mgao umenichosha kila siku natumia generator
unajua watu wa dar wengi wamekalili mbezi, tegeta only wilaya ya kinondoni basi wanashikwa masikio sana njooni huku karibu na the blue diamond huku mashamba au viwanja vipo vikubwa tu kwa bei poa ila baada ya miezi sita vitapanda piga simu hii 0713291013 pia karibu na mradi wa tuangoma kijichi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.