“Tuwe na national ethos inayokataza mwizi kuchaguliwa mbunge" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

“Tuwe na national ethos inayokataza mwizi kuchaguliwa mbunge"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngoreme, Jan 20, 2011.

 1. Ngoreme

  Ngoreme Senior Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa nchini kuna jamii iliyopokea kaulimbiu za kuwa mjanja, full kujirusha, chizika, fasta-fasta na nyingine alizoita za kupumbaza, jamii ambayo mwizi wa kuku anaweza kuuawa lakini mwizi wa mali ya umma akachaguliwa kuwa mbunge, jamii hiyo haiwezi kuandaa Katiba mpya inayotarajiwa.

  Je hii itasaidia na kuwa mbadala wa kuunda katima mpya then tuiwekee vilaka hii iliyopo?
  Tupeane mawazo hii ni tume imeanza kupokea maoni
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2016
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  KAMA UMEAMUA KUMNANGA NYOKA WA MAKENGEZA HAPP POA
   
 3. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,452
  Likes Received: 81,540
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya ndio suluhisho
   
 4. TEKNOLOJIA

  TEKNOLOJIA JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2016
  Joined: Jan 6, 2014
  Messages: 4,306
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Tusubiri katiba mpya hasa ile ya Warioba ina ethos na values za namna hiyo.
   
Loading...