Nani amlaumu mwenzie na nan anamkosea mwenzie zaidi?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
WanaJF kusema ukwel nimejarbu kutoa utata kwa wa2 weng ila sasa naona ninashndwa ckatai mwanamke kwenda kusuguliwa miguu na kupakwa rang na Dume na pia ckatai mwanaume kwenda kunyoa nywele na kusafishwa uso na mwanamke kila m1 yupo sahihi anasave muda ili aendelee na mambo mengne utata unakuja hapa mwanamke anapokwenda kusuguliwa miguu nguo aliovaa na ukaaji wake kama anataka kujifungua sasa hv na ndio tatzo linapotokea kama wewe umemkuta mkeo au mpenz wako anasuguliwa miguu na dume limemuinamia cjui utajisikiaje niliongea na m1 wa wafanyabiashara hii ya kusugua miguu mwenge nae alisema (wapo wadada au wanawake wanakuja wanafanya wakusud anajiacha waz ila kutokana na cc ile ni kaz bac 2nanyamaza 2uu ila 2naumiaga sana) na pia nikafanikiwa kuongea na m1 wa wafanyabiashara saloon za kiume mdada nae alisema (unajua nilazma ujionyeshe kama unavutiwa nae ili aache pesa nyng na pia unamgusishagusisha matiti au unamsugua vzur ili awe anavutika na wewe) na hapo ndipo nilipojua kuwa kwanini mwanaume na mwanamke wakienda sehemu hz pamoja huwa hawarud wanaelewana alafu pia kwanini utata upo je ni nani anaeumia zaid na nani alaumiwe?
 
mwee!! mweee!! Tena kuna siku moja na mimi nilienda nikawa nimevaa kofuli mpya babuu lake, imeandikwa UTAJIJU enzi zile! jamaa anapaka rangi halafu anakula chabo, basi baada ya kumgundua nikamwachia mwaaaaa! Nikaona jamaaa kasimama kaelekea choooni! shenzi kabisaa najua alienda kutoa magundi yake kwa mkono! mi naja kupaka rangi we unanichungulia!!! basi UTAJIJU! kwani kazi yako kuchungulia?
 
haaaaa haaaaa!!!!!!!!
we mkareeeeeeeeeeeeeeeeeee si odnareeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
mwee!! mweee!! Tena kuna siku moja na mimi nilienda nikawa nimevaa kofuli mpya babuu lake, imeandikwa UTAJIJU enzi zile! jamaa anapaka rangi halafu anakula chabo, basi baada ya kumgundua nikamwachia mwaaaaa! Nikaona jamaaa kasimama kaelekea choooni! shenzi kabisaa najua alienda kutoa magundi yake kwa mkono! mi naja kupaka rangi we unanichungulia!!! basi UTAJIJU! kwani kazi yako kuchungulia?

mmmmmh!Chupi lenyewe limeandikwa utajiju!!!!
Inawezekana chupi lilikuwa chafu, kaharufu kauvundo kwa mbali,
msela akashindwa kuvumilia, akaenda kutapikia chooni huko!!!!!!
 
Umeona eeeeh,sasa labda atuambie kama aliona mashine ikiwa up???
Habari yako Bacha???
 
WanaJF kusema ukwel nimejarbu kutoa utata kwa wa2 weng ila sasa naona ninashndwa ckatai mwanamke kwenda kusuguliwa miguu na kupakwa rang na Dume na pia ckatai mwanaume kwenda kunyoa nywele na kusafishwa uso na mwanamke kila m1 yupo sahihi anasave muda ili aendelee na mambo mengne utata unakuja hapa mwanamke anapokwenda kusuguliwa miguu nguo aliovaa na ukaaji wake kama anataka kujifungua sasa hv na ndio tatzo linapotokea kama wewe umemkuta mkeo au mpenz wako anasuguliwa miguu na dume limemuinamia cjui utajisikiaje niliongea na m1 wa wafanyabiashara hii ya kusugua miguu mwenge nae alisema (wapo wadada au wanawake wanakuja wanafanya wakusud anajiacha waz ila kutokana na cc ile ni kaz bac 2nanyamaza 2uu ila 2naumiaga sana) na pia nikafanikiwa kuongea na m1 wa wafanyabiashara saloon za kiume mdada nae alisema (unajua nilazma ujionyeshe kama unavutiwa nae ili aache pesa nyng na pia unamgusishagusisha matiti au unamsugua vzur ili awe anavutika na wewe) na hapo ndipo nilipojua kuwa kwanini mwanaume na mwanamke wakienda sehemu hz pamoja huwa hawarud wanaelewana alafu pia kwanini utata upo je ni nani anaeumia zaid na nani alaumiwe?

Nukta au hata alama ya mkato tafadhali.
 
Nukta au hata alama ya mkato tafadhali.

huyo usimlaumu ndio sawa na wale unaokutana nao wanaongea kama wamemeza tape hata ile tunayo sema from the horses mouth sio hivyo .

lakini labda ni mmoja ya wanaovutiwa ka kimoja kati ya hivyo!

Halafu pia waacheni wale wasiojua matumizi ya pesa waonyeshwe matumizi sasa we kusugulisha na kugusishwa matiti tu unatoa zaidi du sasa uatjiju kama chupi ya dada mmoja ilivyoandikwa acheni mjinga au limbukeni apate malipo yake we ukilimbuka na saloon shauri zako
 
dah! Haya bana mm nimechapia cjui ninaongea kama tape sawa lakn wazungu wanasema meseji sendi pa1 babaake
 
kwani na wewe huwa unaacha wazi au kuvaa chupi ya utajiju kwa maandishi na yenye uvundo duh pole sana ulikuwa hujui

Nimeitikia on behalf,mi hupaka rangi mwenyewe na kusafisha miguu yangu mwenyewe.......:smile-big:
 
Back
Top Bottom