Shamba linauzwa kigamboni

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Shamba la ekari 13 linauzwa,liko kigamboni km 37 kutota feri bei ya ekari moja sh 800,000 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0713876210.
 
shamba la ekari 13 linauzwa,liko kigamboni km 37 kutota feri bei ya ekari moja sh 800,000 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0713876210.

mmmh, mbona bei ndogo namna hiyo?? Ina maana shamba zima ni million 10 laki 4.
Nini sababu ya kuliuza? Au lipo ndani ya mradi unataka kumshikisha mtu??
 
Mradi upo kibada, ndani ya km 10 toka feli - hili linalouzwa lipo km 37 ni karibia na maeneo ya kimbiji, tundwi songani mpakani kwa wilaya ya temeke na mkulanga kama sijakosea sana.

kwa wale walikwisha kufika dar zuu ni mbele yake kama km 15 hivi. Kama mtu ana pesa achangamkie nina uhakika 100% haliko ndani ya mradi.
 
Shamba liko kimbiji nje kabis ya mradi,na bei inatokana na uhitaji wa haraka wa hela yenyewe,ziko heka 30,nimekata kidogo ili nikamilishe shuhuli nyingine si unajua mwanzo wa mwaka.Hata ukitaka zote 30 naweza kuuzia
 
Eneo limepimwa mkuu?
 
unajua watu wa dar wengi wamekalili mbezi, tegeta only wilaya ya kinondoni basi wanashikwa masikio sana njooni huku karibu na the blue diamond huku mashamba au viwanja vipo vikubwa tu kwa bei poa ila baada ya miezi sita vitapanda piga simu hii 0713291013 pia karibu na mradi wa tuangoma kijichi NSSF complex block
 
Unauza kwa ekari au unauza shamba zima?

Nauza shamba zima ila kama unahitaji kuanzia ekari tatu nawea kukuuzia najua sisi sote ni watoto wa wakulima inawezrekana uwezo wa ekari kumi huna ila unaweza nunua ekari 3 na kuendelea unakaribishwa,
 
unajua watu wa dar wengi wamekalili mbezi, tegeta only wilaya ya kinondoni basi wanashikwa masikio sana njooni huku karibu na the blue diamond huku mashamba au viwanja vipo vikubwa tu kwa bei poa ila baada ya miezi sita vitapanda piga simu hii 0713291013 pia karibu na mradi wa tuangoma kijichi NSSF complex block

Tatizo la wabongo ukiwaambia shamba liko km 37 toka ferry wanasema mbali jamani ukiambiwa shamba si kiwanja huwezi pata shamba kurasini hicho kitakuwa kiwanja kama unahitaji shamba na kwa garama nafuu lazima liwe mbali na mji.
 
Shamba liko kimbiji nje kabis ya mradi,na bei inatokana na uhitaji wa haraka wa hela yenyewe,ziko heka 30,nimekata kidogo ili nikamilishe shuhuli nyingine si unajua mwanzo wa mwaka.Hata ukitaka zote 30 naweza kuuzia
ulipataje hizo hekari 30? Plz mnunuzi fanya searching kwanza
 
Mradi upo kibada, ndani ya km 10 toka feli - hili linalouzwa lipo km 37 ni karibia na maeneo ya kimbiji, tundwi songani mpakani kwa wilaya ya temeke na mkulanga kama sijakosea sana.

kwa wale walikwisha kufika dar zuu ni mbele yake kama km 15 hivi. Kama mtu ana pesa achangamkie nina uhakika 100% haliko ndani ya mradi.
we mfipa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom