Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

SIMPLE:

Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
 
Na hawa under18 naona wako wengi mpaka mada zinakosa mwelekeo
Mie mpaka nimepata uvivu kuchangia siku hizi
 
Ulihakikisha umejiandikisha kwenye daftari la kudumu la mahujaji wa Yerusalemu Mpya? Na ile kitu inawekwa mseseve uliifakamia vya kutosha?

Ya siku hizi sio kama ya Enzi zile. wamshaichakachua!!
 
Ndugu yangu, hao sio watoto. Ni watu wazima walioshindwa kura za maoni CCM. Wengine ni wale wanaosubiri kuteuliwa ukuu wa wilaya na mikoa. Wanasiasa wakikosa kazi, tabia zao kama watoto tu. Wee subiri Rais atangaze vyeo vyote, upuuzi huu utapungua sana. Kuna mmoja namjua alikuwa mgombea ubunge jimbo moja Kigoma.
Na wenyewe tutawajumuisha huko si wana akili za kitoto ?
 
SIMPLE:

Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
Tumekusikia mkuu manake hali ni mbaya wakina dada watatukimbia sasa hivi si unaona walivyoniunga mkono hapa ?
 
Si wanakuja kwa wakubwa na wenye uzoefu wapate ushari....? Mbona mnawafukuza badala ya kuwaelimisha? Kama demu wake anamtesa au hamuelewi demu wake si aombe ushari kwa wakubwa na wazoefu wa maswala ya mahusiano? Mimi nasema waje, pengine tunawaokoa wengi kufanya maamuzi ya kujiua kwa ajili ya kupigwa chini na wapenzi wao....!
 
Ha ha ha....! Ngoja nimtrain kwanza maana so far ananijua mie tu, asije kukushambulia. Si umeona hiyo ki2 ya moto hiyo....

duuuhh naona anaikokea ile mbaya..
ulimpeleka afghanistan kwa training nini??
 
nyie huku mnaongea mambo ya tigo wakisoma nao wanaenda kuombana tigo hadi waje wafikishe 25yrs hata mbele hawagusi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom