Recent content by ngiri maji

  1. N

    Mtoto wangu anafanana na jirani

    Ukiona manyoya basi ujue.....!!!!!!
  2. N

    Sumu inayosambaa mitaani dhidi ya Magufuli, Mungu ingilia kati

    Aisee wewe jamaa ni muongo sana. Mimi ni mtumishi Wa umma, pamoja na wenzangu tunamkubali sana MG kwa sababu siku hizi hakuna miungu watu makazini. Ukileta zako tunakureport na wanyamwezi wanakufuatilia hadi unyooke...!!! Sasa hivi maadili makazini yako sana na ule unyerere unaanza kurudi sasa...
  3. N

    Naomba ushauri, nimelea mimba amejifungua ananiambia mtoto sio wangu

    Sasa mkuu umekwisha ambiwa kuwa mtoto si wako sasa unataka ushauri wa nini. Ushauri mwombe uliyezaa naye na wala siyo sisi. Hujazaa na wana JF wewe umezaa na huyu mwanamke. Muombe yeye ushauri mkuu....!!
  4. N

    Kila nikimpa ni kama namwongezea spidi zaidi..

    Kwani lazima uwe naye. Si utafute asiye na roho mbaya kama huyo. Tunasumbuana tu hapa jamani....!!!!!
  5. N

    Nina damu group O+, Ufafanuzi kuhusu group hii

    Nenda kaoshe kirungu uwezavyo tena peku peku...!!! Osha na wapenzi wengi zeni ukapime ngoma uone kama haitajibu...!!! Jipe imani tu kuwa group o+ ngoma no...!! Hahahahaaaaaaa..!!!
  6. N

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Kumbe hata kama angekuwa anauawa angeendelea kurekodi....!!!! Unatetea ujinga tupu....!!!!!
  7. N

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Ungekuwa wewe ndo umerekodiwa na ushafukuzwa kazi ungemfikiriaje aliyerekodi....!!!!!!
  8. N

    Natafuta mwanaume ambae atakuja kuwa baba watoto

    Mimi ni mkristo nina mfumo jike, Nawapenda sana ndugu zangu wa kiume. Sema ni vigumu nibaki na wewe tuuu eti nisikutafutie mpinzani wako..!!! Hapo nitakuwa sichochei maendeleo ya ndani. Ni lazima niwe na mwingine nje ili ufanye bidii ya kuniridhisha zaidi nikupe namba one. Lakini pia ungeweka...
  9. N

    Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

    Haya unayoyasema ni kama unawazungumzia watu wasiojitambûa. Lakini mashabiki wote wana akili timamu na wanajua kuwa kufanya vurugu ni kosa la jinai.,,!!! Hawa wote ni wahuni tu na wanatakiwa kuadhibiwa vikali. Taratibu zote wanazijua sema ni ujinga tu basi. Zuia pesa Serikali, Piga wao faini...
  10. N

    Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Kuna shida gani mimi nikaamini kwa namna yangu na wewe ya kwako. Ni kwa vipi wewe unilazimishe niamini unachokiamini wewe..???? Kama wewe huamini hivyo mbona ni vizuri ukabaki katika msimamo wako..??? Imani yako isikufanye ukereke uonapo mwingine haamini unayoamini wewe....!!!! Amini li vyako...
  11. N

    Diamond soma alama za nyakati mapema

    Hapa hakuna busara za mtu mzima....!!!!
  12. N

    Hali imekuwa tete nchini, nyumba zashuka bei

    Hongera sana JPM kazi nzuri sana kaka....!!!! Sisi walala hoi tuko pamoja nawe brother....!!!!
  13. N

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Hoja ya msingi iko pale pale kwamba wezi hawawajibiki na haki za binadamu...!!?? Unamtaka Mhe Rais aheshimu haki za binadamu, wezi nao waziheshimu haki za nani...!!!?? Rais yuko sahihi kabisa. Hawa watu wa haki za binadamu wamejaa maneno yasiyo na mashiko....!!!!
Back
Top Bottom