Nina damu group O+, Ufafanuzi kuhusu group hii

Nina damu group O+, Ufafanuzi kuhusu group hii

ungekuwa na 0-RH ukampata demu mwenye hilo hilo group hamuezi kuzaa hata mfanyaje.labda kwa maombi

Ni kurekebishe kidogo hapo mkuu, Kama huyu bwana angekua Rh+ve na mkewe akawa Rh-ve ingekua nivi.
Mtoto wa kwanza angezaliwa salama ila mimba ambazo zingefuatia zisingeweza kukua, zingeharibika (Misscariage)
hii ni kwakua Huyu mama(Rh -ve) anakua ameshatengeneza kinga za mwili(Antibodies(Ab)) dhidi ya Rh+ve Baada ya ujauzito wa kwanza.
kwakua mtoto anayepatikana kutoka makundi haya ya damu huwa Rh+ve, basi mwili wa mama humtambua kama "Hatari"(Foreign body) kwahiyo basi Rh-ve Ab huvuka uzuio unamtenganisha mama kwa mtoto na kwenda kumshambulia Chembe hai nyekundu za damu za mtoto, hili shambulizi husababisha Upungufu wa damu kwa mtoto (Haemolytic anaemia) ambcho hupelekea kifo chake.
Matatizo kama haya uherekebishika hatua za haraka zitafanyika.

HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
 
Ukianza kuulizia umuhimu wa kila kiunga ktk mwili wako hutomaliza. Kwanini unaishi?, kwanini wewe!.......Kwanini hujibu hoja za umuhimu........Kuna umuhimu gani wa wewe kuwa na damu? why upumue!!!!!!!!!!!!!!!!!!! y!
 
Hujaelewa somo, mke akiwa - ve na mme naye -ve ndio tatizo. Sasa wewe - ve na mmeo + ve huoni kama Kuna tofauti kwenye Rh factor?? Group O hasa +ve ndio kindi la damu lililo ngangari kwa kujikinga na magonjwa na hata vvu hufanya kazi ya ziada kushambulia kundi hili. Mtu mwenye group hili akipata vvu havimsumbui na akikuambukiza mwenye group jingine kama A, B au AB lazima muondoke ila yeye atakuwepo. Mara nyingi hawa huwa hujulikana kama carrier
Hapa napo umechemka. Mme na Mke wote wakiwa negative hakuna tatizo lolote watazaa fresh. Ila Mke akiwa negative na mme postiv ndo tatizo lakin tatzo lenyew kuna suluhisho nalo ni kuchoma sindano ya ant D,
 
Ukiwa na group O ukihitaji kuchangiwa damu unatakiwa upate mwenye group kama lako. Wanaweza kuja watu 15 kujakukuchangia damu akapatikana mmoja tu wengine wote wakarudishwa. Mnaweza kuhangaika sana kutafuta damu mwishowe mkampoteza mgonjwa kwa kukosa damu.

Hospitalini mtu akifanyiwa oparation anaweza kupoteza damu nyingi hivyo akahitaji msaada wa damu hasa mama mjamzito na waliopata ajali za bodaboda na magari.
 
Na hawa watu wa guinea bissau nahis....nasikia wao hawapati ngoma kabisa...ni all about immunity au blood group...msaada hapo
 
Acha uongo ww mbna mm nina negative na nina watoto na mme ni postive usiwe mpotoshaj km huna uelewa na unachoongea, Elimu Elimu Elimu

Ni kweli kwa sehemu amekosea anaposema kuwa hawatazaa kama wote ni Rh-. The truth is there are chances wakapata firs born lakini second pregnancy normally hutoka. Kwa case yako wewe ni Rh- na your hubby ni Rh+. Samahani Kama nitakuwa nimekukwaza.
 
asanteni wana jamvi wote kwa ushauri mlionipa, kweli kuhusu kuumwa mimi homa azinipati sana, huwa nakaa sana bila ya kuumwa chochote, ila kwa hilo la kutoambukizwa "MDUDU WA KARNE" HIV eti kwa sababu ya group 0+ hilo suala mimi siliafiki maana hawa wadudu hawapendagi ujinga, tuwe makini jamani.
 
asanteni wana jamvi wote kwa ushauri mlionipa, kweli kuhusu kuumwa mimi homa azinipati sana, huwa nakaa sana bila ya kuumwa chochote, ila kwa hilo la kutoambukizwa "MDUDU WA KARNE" HIV eti kwa sababu ya group 0+ hilo suala mimi siliafiki maana hawa wadudu hawapendagi ujinga, tuwe makini jamani.
O- ndo ina kinga zaidi kuliko o+,na mwenye o- hashambuliwi na maradhi,mm Nina o neg sijawah kuugua homa yoyote tangu nizaliwe na sasa nakaribia 40,
Nasikia watu wenye O- ndio wenye hii sifa ya kutoambukizwa HIV kwa urahisi, na hii taarifa nilipewa na mdau mmoja ambaye group lake ni O-.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom