Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

mleta mada utakuwa na undugu na shetani,ama inawezekana ukawa na matatizo ya ubongo,yaani suala la kumpiga mwanafunzi liishe ofisini kwa amani,au ndiwe uliyempiga mwanafunzi nini unatafuta huruma

Ungekuwa wewe ndo umerekodiwa na ushafukuzwa kazi ungemfikiriaje aliyerekodi....!!!!!!
 
Hivi unaakili kweli,embu jichukulie aliepigwa hivyo ni wewe au mwanao au mdogo wako,ungeposti upuuzi huuu wewe.
Whatever the case mkuu!! we huoni baada ya hapo ilipaswa hawa watu wasaidiwe? for the sake of their education? Hapo we unadhani nani yuko salama sasa...
Hao walimu wataingia mtaani sawa, huyu aliyerekodi video ataendelea kusoma,
 
Bro nakuonea huruma kwa utupu wako wa kichwani. Unawezaje kusema mtoa taarifa achukuliwe aadhibiwe. Kwanza hapa ndipo tunapoona umuhimu wa hii mitandao kwa kuwa bila hiyo hili jambo lingepita kimya.
What if kama lingepita lakini solved?
 
Ma

Mama Prof wametenda kosa please wapunguzie adhabu wamejifunza mengi, walimu waliopofika job hawakuwa na nia ya kumdhuru mwanafunzi ni ajali kama ile ya Mh. Speaker kipindi kile cha campaign kule Kongwa.
Ajali mtoto wa watu anakungutwa kinyama na watu watatu? Mr unadhalilisha Watanzania kwa kua hata mataifa mengine yakisikia comments kama zako watahoji uwezo wetu Watanzania wa kufikiri. Kuna taratibu zilizo wazi kabisa za kuadhibu watoto wakorofi but not that way my friend. Hata kama huyu mwanafunzi angekua na kosa kubwa namna gani basi angesimamishwa masomo akisubiri maamuzi mengine.
 
Na Kina Ndalichako walipaswa kulifikiria hili! Pengine wale vijana bado darasa halijawakaa vyema, si hawajamaliza chuo?
dogo-aliyepigwa-mbeya-jpg.414027

Tembosa una tatizo gani.
umeshawahi kupata mtoto?
km Ualimu hauuwezi kwanini ww na huyo Msigwa msiende kuchunga ng'ombe ana mbuzi muwapopoe mle nyama?
 
Kumbe walimu wakatili kama Frank Msigwa inaonesha wapo wengi kwenye jamii yetu
 
dogo-aliyepigwa-mbeya-jpg.414027

Tembosa una tatizo gani.
umeshawahi kupata mtoto?
km Ualimu hauuwezi kwanini ww na huyo Msigwa msiende kuchunga ng'ombe ana mbuzi muwapopoe mle nyama?
Mkuu naona umechanganya picha
 
Kuna hii Habari nimeipata sehemu hebu isomeni mtapata cha kuandika pia.

Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu.

Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake.
 
  • Thanks
Reactions: ora
Alierekodi apewe tuzo,
Na wale maharamia walistahili mob justice
 
Huyo aliyerekodi amefanya jambo jema sana coz kwa kipigo mile mauaji yangeweza kutokea na isijulukane chanzo chake. Ameonyesha ujasiri kuliko watu wa buguruni hususan inavyoseneana ni mwanamke
This is off record please. Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu.

Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
achukuliwe hatua kwa kosa gani?
 
We tembosa inaonekana ni ndg wa huyo MWL that's why unamtetea ,hiyo how to handle cases ni course wanayoichukua kabla hawajaenda field so hapo wamefanya maksud na isitoshe hawajalazishwa kuwa waalimu wafanye kazi nyingine hata wakalime ualimu ni wito co kazi kwanza wachunguzwe huenda hata vyeti vyao vya kugushi.
 
Alirekodi video kama ni mwalimu basi ni yule aliesema wamwache mwanafunzi watamuumiza. Hivyo aliplay part yake na ikumbukwe kuwa alikuwa mwanamke ambaye aliwakemea wanaume. Lakini pia kuna mwanamke wa kike sijui hana kizazi alisema wamwache aendelee kupokea kisago. Najiuliza hivi ule wimbo wa wagosi wa kaya bado unamaana kumbe? Kama ni mwanamke ambaye anakizazi hawezi kushabikia kichapo kile.
 
Back
Top Bottom