Natafuta mwanaume ambae atakuja kuwa baba watoto

Khaa, umeanza kwa kiki.., ngoja waje lakini waweza kunipm kwa maujanja zaidi kama hutajali
 
Habari zenu wadau nimekuja kwenu mara nyingine rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia ntampenda na kumlinda,sifa zangu umri 25,mkristo,kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike,sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box
:):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):)
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
...........................................................................................................................................

Mimi ni mkristo nina mfumo jike, Nawapenda sana ndugu zangu wa kiume. Sema ni vigumu nibaki na wewe tuuu eti nisikutafutie mpinzani wako..!!! Hapo nitakuwa sichochei maendeleo ya ndani. Ni lazima niwe na mwingine nje ili ufanye bidii ya kuniridhisha zaidi nikupe namba one. Lakini pia ungeweka picha yako ingependeza zaidi. Na uweke picha halisi isiyo na make up katu....!!!!
 
Back
Top Bottom