Mtoto wangu anafanana na jirani

Mtoto wangu anafanana na jirani

Kwan kibamia naye c ana kishtobe wake kamwelez kishtobe wake ukweli ili wew na yey muanz safar ya matumain
 
Wapendwa mu wazima?

Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu
Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja!
Halafu huyu dingi kaanza kama kujishtukia flani kila nikipita nimemkaushia ananiita kwa nguvu ili tu anisalimie mbona zamani hakuwa hivi?!
Hapa nilipo naanza kukonekti doti
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi
Kama anafanana naye, basi ndiye biological father. Hujaribiwi lakini, ndio ushashindwa.
We kausha tu!
 
Usiwaze sana yaelekea huyo mzee ana roho nzuri sana ndo maana kafanana na mwanao. Zamani nilipokuwa mdogo nilisikia eti mama mjamzito akipatana na kupendana na kijana mmoja lazima mtoto atafanana na kijana huyo na familia ilifurahia(binafsi naamini walikuwa wanalinda ndoa zisivunjike). Sasa basi na wewe jiaminishe kuwa mtoto ni wako ila kafanana na kizee hicho kwa ajili ta ukaribu alionao kwenu ili uilinde ndoa yako. Maji yakishamwagika hayazoleki, kubali matokeo mkuu.
 
Fanya vipimo vya DNA ili upate ushahidi. Usisubir sura itokee kwa mtoto
 
Wapendwa mu wazima?

Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu
Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja!
Halafu huyu dingi kaanza kama kujishtukia flani kila nikipita nimemkaushia ananiita kwa nguvu ili tu anisalimie mbona zamani hakuwa hivi?!
Hapa nilipo naanza kukonekti doti
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi

Ukiona manyoya basi ujue.....!!!!!!
 
flintsky ungeandika heading hii "mke wangu amejifungua mtoto anafanana na jirani" ila kumuita mwanao mtoto wa jirani yako (Kibamia) kisa amezaa na mkeo unakua hujamtendea haki.
 
beba mtoto kwa siri kampime inasaba KENYATA wewe na yeye wale hawanaga chenga chenga unachanwa ukweli
 
Hizi story za hivi zimekuwa nyingi siku hizi mhhh
 
Kupigiwa inauna khasa Kupigiwa na mkongwe huyo pole ndo anua matanga msiba uishe
 
Back
Top Bottom