Recent content by Ngalangala

  1. Ngalangala

    Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Kwanini hao hawakukimbizwa Ligalo Hospital ambapo ndo karibu na kupelekwa Muhimbili?? Tufanyie utafiti na hilo pia
  2. Ngalangala

    Yanga yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Azam bao 4-3

    Yanga wanatamani kuikimbia zanzibar kuliko kucheza fainali ya mwaka huu na mnyama
  3. Ngalangala

    TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

    Tatizo nguzo imengukia kwenye ukuta na umeme umekata toka jumapili.. salasala road karibu na green acres.. tushatoa taarifa and nobody cares
  4. Ngalangala

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama aliomba radhi Jeshi la Polisi, asema alihadaiwa kuhusu Muuza Chips aliyekutwa amefariki dunia

    Nasikia polisi walipitisha fagio kuanzia walinzi wa tigo baba wenye nyumba watoto hadi watu waliokua wanakula chipsi kwa bili
  5. Ngalangala

    TANZIA DJ Ommy afariki dunia

    Bunyero ni ule mchezo wa wadada wenye makalio makubwa kuchezesha kama show flani hivi
  6. Ngalangala

    TANZIA DJ Ommy afariki dunia

    Dah! Mwana sana jamaa ulikua humkosi maisha club ile ya masaki enzi zile kwa wale wazee wa bunyero bunyero.. nadhali alikua pale kama manager... tangulia kamanda
  7. Ngalangala

    TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

    Afu wazee mnazingua big time.. hapa nimetoka hapo kwenu nimejibiwa na huyo dada mweupe mafundi watakuja kuinua nguzo imeangukia ukuta sina umeme toka ile mvua ya juzi hamna anaekuja wala kujitikisa.. taarifa mnazo hapa kwenye matope kama unaenda gree acres
  8. Ngalangala

    Nyota ya Dr Nyambura Moremi itang'aa Kimataifa

    Ila urongo mbali dada Nyambura chombo kweli kweli Sent using [iPhone 11 max Pro]
  9. Ngalangala

    Petrol Station ya Oilcom Skanska-Tegeta, acheni wizi

    Ile petrol station ni ya kihuni sana! Nilishawahi weka mafuta ya 30000 wakajikuta wananipa printed receipt ya 20000/= Sent using [iPhone 11 max Pro]
  10. Ngalangala

    Hatimaye Wema akubali posa ya rubani

    Mbona kila siku anabadilisha kulala appartments na watoto wa kishua wa Mbezi
  11. Ngalangala

    DAR: Mfanyabiashara wa dawa za kulevya anaswa

    Huyu mtu anakaa na madawa tabata?? Maleria sana
  12. Ngalangala

    Eti kwa mzungu swimming pool ipo wapi?

    Karibu na polisi stakishari! Ila alhamisi ndo panakua patamu sana
Back
Top Bottom