Petrol Station ya Oilcom Skanska-Tegeta, acheni wizi

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
639
Reaction score
216
Sina lengo la kumchafua mtu ila kiukweli kuna hali ya wizi katika kituo cha Oilcom pale Skanska karibia na Tegeta, wahudumu wanahusika na kuibia wateja, kiwango cha mafuta unachoweka pale iwe ni Tshs 10,000/= au Tshs 20,000/= inakua ni tofauti na ukiweka vituo vingine.

Kwanza utakuta pump mbili zinafanya kazi lakini utaelekezwa uelekee pump fulani hata iweje utalazimishwa uende hiyo wakiona unataka kwenda pump nyingine ambayo hawailenga au hawajaiandaa basi mhudumu atajifanya kama pump haitumiki.

Ukifika kwenye pump iliyodhamiriwa sasa utaona pale Tshs 3,000/= wanajua kabisa kwa gari lazima utaweka mafuta ya Tshs 5,000 na kuendelea, wanajifanya wanafuta na kukuandikia pesa uliyotoa lkn kwa uhalisia mafuta yataingia pungufu tu.

Mambo kama haya wamiliki mara nyingi wanakuwa hawajui upuuzi unaofanywa na wafanyakazi wao, kiukweli kituo hiki kuna namna wanatuibia, inakera sana. Wamiliki walifanyie kazi kama wao hawahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile petrol station ni ya kihuni sana! Nilishawahi weka mafuta ya 30000 wakajikuta wananipa printed receipt ya 20000/=

Sent using [iPhone 11 max Pro]
 
Sina lengo la kumchafua mtu ila kiukweli kuna hali ya wizi katika kituo cha Oilcom pale Skanska karibia na Tegeta, wahudumu wanahusika na kuibia wateja, kiwango cha mafuta unachoweka pale iwe ni Tshs 10,000/= au Tshs 20,000/= inakua ni tofauti na ukiweka vituo vingine.

Kwanza utakuta pump mbili zinafanya kazi lakini utaelekezwa uelekee pump fulani hata iweje utalazimishwa uende hiyo wakiona unataka kwenda pump nyingine ambayo hawailenga au hawajaiandaa basi mhudumu atajifanya kama pump haitumiki.

Ukifika kwenye pump iliyodhamiriwa sasa utaona pale Tshs 3,000/= wanajua kabisa kwa gari lazima utaweka mafuta ya Tshs 5,000 na kuendelea, wanajifanya wanafuta na kukuandikia pesa uliyotoa lkn kwa uhalisia mafuta yataingia pungufu tu.

Mambo kama haya wamiliki mara nyingi wanakuwa hawajui upuuzi unaofanywa na wafanyakazi wao, kiukweli kituo hiki kuna namna wanatuibia, inakera sana. Wamiliki walifanyie kazi kama wao hawahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bora umeongea niliweka majuzi pale,nikajua kuna mchezo lakini sirudi tena.
 
Zile Mashine zimeandikwa pale "Hakikisha namba zinasoma Zero Zero".

Oilcom ndio zao. Ata wa Ubungo hivo hivo. Especially mida mibaya kuanzia saa 4.

Akija Bodaboda, anapima ya buku 2 au 3 akasepa, sasa ukija wewe wanaendeleza pale alipoishia bodaboda.

Cha kufanya hakikisha namba zinasoma Zero Zero na mwishoni omba risiti.
 
Hawa Oilcom si ndio waliomletea shida kaka Maxcen Mero? Tusiandike habari zao HASI italeta shida tena kwa hawa jamaa. Joke
 
Zile Mashine zimeandikwa pale "Hakikisha namba zinasoma Zero Zero".

Akija Bodaboda, anapima ya buku 2 au 3 akasepa, sasa ukija wewe wanaendeleza pale alipoishia bodaboda.

Cha kufanya hakikisha namba zinasoma Zero Zero na mwishoni omba risiti.
Social distancing
 
Mimi nimedate dem aliyekuwa akifanya kazi katika hivi vituo vya mafuta.

Hii iko ivi.
Kuna Technician au wataalamu ambao wanajua kucheza na hizi mita. Wapo wa aina mbili.

1. Wameajiriwa na wamiliki wa vituo vya mafuta kucheza na zile mita ili kupunguza kodi wanayotakiwa kulipa kwa serikali. Wengi huchezea hizi mita usiku.

2. Wengine wamejiajiri wenyewe pamoja na wale wahudumu katika vituo vya mafuta. Wanachezea mita kuibia wateja. Mfano, Umenunua lipa 20 unawekewa 15. Hii nayo hufanywa shifta za usiku mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu umenena vyema naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom