TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

Hivi kwa nini Tanesco wameshindwa kabisa kutatua tatizo la umeme mdogo(Low Voltage) kwenye maeneo mengi hasa Dar es Salaam? Wakati mwingine hasa jioni voltage huwa ina drop hadi 160 na mchana huwa haipandi zaidi ya 202 badala ya 220 hadi 240.
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onyesha

Jina - Fundi mchundo

Eneo - Tabata Kisukuru migombani, Mtaa wa Kihimbwa

Wilaya - Ilala

Simu -

Tatizo - Umeme mdogo(Low voltage)

Toka lini - Mwaka mmoja

Kwa hatua zaidi
 
Wataalamu wetu wamefika eneo husika hakuna chanamoto hiyo tafadhali tutumie namba yako ya simu hata mwa siri
 
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. Zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme inaambiwa Luku yako haijwa activated. Ikienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekua inshu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.
Hata manager wao atakua mzembe, nasafiri nikirudi jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi. Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
jiongeze mkuu mi nilitoa laki kupata luku tu wakati inagawiwa bure ha ha ha ha manake niliona jamaa anasema kufata utaratibu huo mchakato ni mrefu kinoma nilivyotoa hela jamaa akaileta fasta na bodaboda
 
Ulimpatia nani na namba yako ya simu tafadhali
 
jiongeze mkuu mi nilitoa laki kupata luku tu wakati inagawiwa bure ha ha ha ha manake niliona jamaa anasema kufata utaratibu huo mchakato ni mrefu kinoma nilivyotoa hela jamaa akaileta fasta na bodaboda
Unasemaje?
Hahahahah haya maisha haya
 
Vuta subira mkuu .....huendakazi nyingi wafanyakaz wachache...
Ingawa tunauhitaji ila pia tufikilie hilo
 
Mimi nipo Kerege Ccm - Bagamoyo, niliwekewa umeme 2013 ,nililipia nguzo 2 Nikaletewa nguzo 1 mbovu. Niliripoti kwa meneja kuhusu nguzo mbovu nikaahidiwa watarekebisha. Mpaka juzi 09/01/2021 nguzo imeanguka nusura kuua!! Ni uuuuungwana?? Nipo gizani, walikuja kukata umeme na kuondoka! Wangenisiliza nguzo haingeanguka!
 
Sasa hapo akitoa namba itakuwaje?
Mtoa rushwa na mpokea rushwa au?
Afu wazee mnazingua big time.. hapa nimetoka hapo kwenu nimejibiwa na huyo dada mweupe mafundi watakuja kuinua nguzo imeangukia ukuta sina umeme toka ile mvua ya juzi hamna anaekuja wala kujitikisa.. taarifa mnazo hapa kwenye matope kama unaenda gree acres
 
Afu wazee mnazingua big time.. hapa nimetoka hapo kwenu nimejibiwa na huyo dada mweupe mafundi watakuja kuinua nguzo imeangukia ukuta sina umeme toka ile mvua ya juzi hamna anaekuja wala kujitikisa.. taarifa mnazo hapa kwenye matope kama unaenda gree acres
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
Tatizo nguzo imengukia kwenye ukuta na umeme umekata toka jumapili.. salasala road karibu na green acres.. tushatoa taarifa and nobody cares
 
Mimi nipo Kerege Ccm - Bagamoyo, niliwekewa umeme 2013 ,nililipia nguzo 2 Nikaletewa nguzo 1 mbovu. Niliripoti kwa meneja kuhusu nguzo mbovu nikaahidiwa watarekebisha. Mpaka juzi 09/01/2021 nguzo imeanguka nusura kuua!! Ni uuuuungwana?? Nipo gizani, walikuja kukata umeme na kuondoka! Wangenisiliza nguzo haingeanguka!
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Jina : Joseph Abdallah Lebai, Wilaya ya Bagamoyo - Kerege CCM, phone 0755282346 . Nililipia nguzo 2 ikawekwa 1 mbovu, imeanguka 09/01/2021 nusura kuua. Nipo gizani.
Tunafatilia mpendwa mteja wetu
 
Unit 10 unatumia week moja?hauwezi ukawa unakaa mbezi beach. Activation process ilitakiwa uifanye hapo hapo ofisini kwao, 10 units ni ndogo sana
unamaanisha hata friji hana,ni umeme wa kuwashia taa tu kama uswazi buza.
Nasema uwongo ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom