Ukiamka adubu piga push up kama 100, squart 100, ruka kichura chura baada ya hapo kaoge maji ya barid , ukitoka kwa bafu chemsha maji kiasi tia tangawiz, mdalasin pamoja na kijiko kimoja cha asali mbichi , kunywa huo mchanganyiko ukiwa wa motomoto, nenda mishe zako , mchana baada ya kula kumbuka...