Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Mazingira ya uandaaji chapati ndio yanawafanya wengi kuona zina kipengele na zoezi,Tafuta sehemu level ya kusimama meza iwe level ya chini kdg ya kiuno chako andaa vifaa vyako chukua unga anza kuchanganya kanda Mbona simple sana unafanya kazoezi flani kama unafua tu nguo (raha sana)

uwe tu na muda usiwe na haraka na ufanye ukiwa unapenda unachokifanya,utatoa chapati laini zakumimina zinasubiri,chapati ni chakula kinachohitaji muandaaji usiwe na haraka na utulize mawazo wakati wakuandaa unga na kuweka vi taste taste ktk unga unaokanda,kama una Muda oooh chapati ni moja ya vyakula vitamu sijapata ONA tena za kusukuma (laini) mama weeeee...
Kweli nimeamini Wanaume wa ukweli walishaisha
 
siku nikiamka najiskia kupika bas jueni tayar maji yanaweza panda mlima. kiukwel cjawahi kupenda mambo ya mapishi
 
Utakuwa una mke mkuu , huo mda wa kuandaa mavitu yote hayo unautoa wapi na stress za maisha hizi , mm mama ntilie watanikoma hadi nioe ndo napunguza safari za kwenda kula kwa mama hawa
 
Hivi Kuna kitu gani najua kupika zaidi ya chai!! Tena sometime huwa chai inakuwa na mabuja sijui yanatokeaga wapi!.. wataalum hebu nijulisheni hili nakosea wapi
shemsha maji baada ya dk mbili weka majani ys chai your good to go...
 
zamani hizo niko chini ya himaya ya wazazi hamna chakula nilikua sipendi kula kama ndizi,mpk naondoka nyumbani kila mtu anajua sipendi ndizi,lakini sasa hivi sijui ni maisha sijui nini ila nilijaribu jifunza pikaa ndizi tangu hapo hadi leo ndizi ni one of my favourite food.

hasa zikiwa za nazi na zaidi nizipike mwenyewe,nilimpkia mama angu 1st day ananitembelea kwangu tangu nitoke home alifurahi na hakuamini alihisi ni ndoto. Ndizi tamu sana na ndio mana ni moja ya vyakula gharama ktk kuvipika ili vitoke vitamu.
ndizi nazi na utumbo acha kabisa
 
nazi nilikua nakuna sana sema kadri muda ulivyozidi kwenda kitambi kikaniangusha maswala ya kuinama inama yananishinda,nikanunua mashine ya kukunia nazi maana napenda sana mboga zakupikwa na nazi natural tu na sio ile ya dukani ya bakhresa na zinginezo.
siku hz sokoni zipo mashine unakuniwa tu nazi yk
 
Back
Top Bottom