One the incredibleWasanii wa KK wanajua ila hawapewi promo.
-Shaaban Robert - VVU - ZImaaaaa
-Unju ZOhan
-P The MC.
-Songa
Sikiliza ya ibraah mapenziRapcha_vunga
Young lunya_fimbo
Ibrah (konde gang) nimpende
Nashkuru sana kwa kumuweka ibrahnation wa kwanzaIbranation
Mayunga
Ochushegy
Becka ibrozama
Platform
Sheby medicine
Conboi unamjuaaaahNashkuru sana kwa kumuweka ibrahnation wa kwanza
Jamaa hana nyimbo mbaya
Ni ukweli kabisa.Ruby, the best female singer in Tz. Au nakosea ndugu zangu?
Mimi!!
huyu mwili unamharibia. spika ikifunguliwa mazma yu jukwaan anaweza kupeperushwa na mdundo!She is the best, ana sauti nzuri na ya pekee