Kama umeandika iwe maudhui sawa ila kama umemaanisha ni vyema ungesema upo wapi na una vyanzo vingapi vya uchumi ili tuhamasike na uyasemayo, vinginevyo nchi yako itabaki kuwa masikini wewe na wananchi wengine
Kikuu wapo sawa tu, kwa zile bei zao na bado mtu hasomi maelezo mwishowe mtu anatoa milio, ila binafsi sijawahi kutana na kadhia yeyote ile na huwa naagiza, NB: Bidhaa nzuri ina gharama
Kuna watu wenye nguvu za kifedha na jeshi wanachuki na hiyo dini ila hawana la kufanya, wametumia kila namna kudhoofisha ila kuna kitabu kinasema hawataweza na kweli hawawezi.
Hata wewe kwa chuki zako hautaweza zaidi utaishia kuandika chuki zako na utakufa kama kitabu kilivyosema,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.