nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #61
Chukua hatua mkuu kila kitu kitabadilika katika maisha yakoAsante sana kwa ushauri mzuri
Chukua hatua mkuu kila kitu kitabadilika katika maisha yakoAsante sana kwa ushauri mzuri
Wewe na nani?Kuna wengine hatutaki utajiri.unatushauri vip
NitazingatiaChukua hatua mkuu kila kitu kitabadilika katika maisha yako
Kikifeli unajua huyo alikua na savings kiasi gani? Na ata survive kwa muda gani? Issue inabaki palepale tu,unaingiza kiasi gani haijalishi una vyanzo vingapi,Calculation 1 tu iwapo kitafeli icho chanzo presha ndiii
Maelekezo....Hii ni uhakika nilishawahi kupata changamoto kwenye source moja ila nyingine iliniweka sawa ,kwasasa source ile imekaa sawa ,kwahiyo narun parallel sources mbili.Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha pesa ili ikatokea umefeli upande huu upande wa pili bado unaendelea kukupa matunda.
Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.
Hiyo saving ataifanyia nini? Una uhakika aliweka saving kwa ajili gani? Kaa ufundishwe uchumi acha ubishiKikifeli unajua huyo alikua na savings kiasi gani? Na ata survive kwa muda gani? Issue inabaki palepale tu,unaingiza kiasi gani haijalishi una vyanzo vingapi,
Mfano mtu anaingiza milioni 10 kwa mwezi kwa chanzo kimoja halafu mwenye vyanzo vitano anaingiza laki 3,
Hapo utamwitaje mwenye chanzo kimoja ni masikini?
Umeuharibu uzi wako kwa kuweka heading ya aina hiyo.
Mia Mia boss ongeza cha 3Maelekezo....Hii ni uhakika nilishawahi kupata changamoto kwenye source moja ila nyingine iliniweka sawa ,kwasasa source ile imekaa sawa ,kwahiyo narun parallel sources mbili.
Kiuchumi wanaita diversity.
Mbona una kwepa maswali yangu?Hiyo saving ataifanyia nini? Una uhakika aliweka saving kwa ajili gani? Kaa ufundishwe uchumi acha ubishi
Inshallah baada ya miezi mitatu nitaongeza kwa wife na yeye aokote okote kwenye bizness za online.Mia Mia boss ongeza cha 3
Ukiona uzi haukugusi sio type yako mkuu baki na changamoto zakoMbona una kwepa maswali yangu?
Niache ubishi gani? Kwahiyo ulianzisha huu uzi ili wote tukubaliane na wewe? Hujui kua JF is an open forums?
Yani wewe unifundishe uchumi mimi?
Kweli JF tuendelee hivi hivi tu kutokujuana aisee.
Hakikisha chanzo cha kwanza Kimesimama, jifunze kabla hujaanzisha cha piliNaam nianze kutafuta chanzo kingine.
😁😁😁Wengi mnaojifanya mnashauri sana kwenye mipango fedha utakuta hamna chochote zaidi ya kujibunia ideas vichwani na kujifanya mnaziishi kumbe wengine mawinga na waburn cd tu.
Ni kama lecture wa chuo biashara anaifundisha kwenye makaratasi anachanganua mtaji mpaka faida but akipewa 5mill aizungushe cha kwanza kichwani kinakuja anunue bodaboda ampe kishandu amkusanyie 10K kwa siku
Wewe ni mpumbavu na huna akili,acha kulazimisha kila mtu akubaliane na mawazo yako,Ukiona uzi haukugusi sio type yako mkuu baki na changamoto zako
Nipo tanzania nina vyanzo 3Kama umeandika iwe maudhui sawa ila kama umemaanisha ni vyema ungesema upo wapi na una vyanzo vingapi vya uchumi ili tuhamasike na uyasemayo, vinginevyo nchi yako itabaki kuwa masikini wewe na wananchi wengine
Hapo utakuta mleta mada kashiba zake mihogo ya jero na juice ya miwa akakimbilia JF kujifanya mshauri wa uchumi wa maisha ya watu.Wengi mnaojifanya mnashauri sana kwenye mipango fedha utakuta hamna chochote zaidi ya kujibunia ideas vichwani na kujifanya mnaziishi kumbe wengine mawinga na waburn cd tu.
Ni kama lecture wa chuo biashara anaifundisha kwenye makaratasi anachanganua mtaji mpaka faida but akipewa 5mill aizungushe cha kwanza kichwani kinakuja anunue bodaboda ampe kishandu amkusanyie 10K kwa siku
Inaonekana una IQ ndogo ndo maana una panic na matusi, 😁😂😂,, una changamoto ya uelewaWewe ni mpumbavu na huna akili,acha kulazimisha kila mtu akubaliane na mawazo yako,
Aliyekwambia kua mimi nina changamoto ni nani?
Punguza ujuaji na ujibu watu kwa heshima ama sivyo utaukimbia huu uzi,usije ukasema hukuambiwa,
Ungekua na akili timamu huwezi kumuita mwenye chanzo kimoja bila kujua anaingiza kiasi gani kwenye hicho chanzo kimoja,utakuja hapo umefungua magenge matatu ya Nazi ya kuuza Nazi na vitunguu,ukakimbilia JF kujifanya mshauri wa maisha ya watu,
Punguza ushauri watu wana mipango yako.
😄😄Mbona una kwepa maswali yangu?
Niache ubishi gani? Kwahiyo ulianzisha huu uzi ili wote tukubaliane na wewe? Hujui kua JF is an open forums?
Yani wewe unifundishe uchumi mimi?
Kweli JF tuendelee hivi hivi tu kutokujuana aisee.