Recent content by neysta

  1. neysta

    JamiiForums Tanzania Hawa wanatutumia sms tujikinge na matapeli mbona wao pia ni kama matapeli?

    unatumia zuku mkuu, why not DStv?
  2. neysta

    JamiiForums Tanzania Fitness

    Mkuu simu yenye app hii unaiweka wapi unavyotembea? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. neysta

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Fafanua vizuri watu waelewe, metadata ndio nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. neysta

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    Nami pia naomba nitumie, nimenunua floor plan ya vyumba vitatu na masters bedroom sikuitathmini vizuri. Hebu ya kwako, nikiipenda nalipia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. neysta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sisi wanaume Mungu atubariki sana

    Umenibariki sana kwa andiko hili Sent using Jamii Forums mobile app
  6. neysta

    JamiiForums Tanzania Jinsi kipindi cha redio kilivyosababisha niache kutumia sukari

    Ina maana wewe huli kabisa matunda yenye sukari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. neysta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulitamani ardhi ipasuke uzame ndani yake?

    Itakuwa ni Tosa boys mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. neysta

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Umechemka, second column 5+4 sio 8 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. neysta

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Huchomoki wewe majibu ni 3.5 4.5 9.5 3.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. neysta

    JamiiForums Tanzania Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

    Iringa ndio home Kihesa, Mtwivila, Mkimbizi, Ngome, Frelimo, Mkwawa , Ilala, Lugalo, Wilolesi, Gangilonga........ Ni maeneo niliyotembelea sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. neysta

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Ututag Sent using Jamii Forums mobile app
  12. neysta

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Poa mkuu, asante, icopy link halafu iweke hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. neysta

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Mkuu tupatie na mbinu mbadala unayotaka kuifanya, maana heading ya stori inaonesha bado kuna vitu hujaviweka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. neysta

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Sana aisee, napenda kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app
  15. neysta

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Stori gani ya huyo jamaa jerrybanks Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom