Sisi wanaume Mungu atubariki sana

Sisi wanaume Mungu atubariki sana

Life has its rules. It's not mandatory to follow them unless they are solely options. The reason you can think that life has been unfair to some people.

A human to fit in life, needs to model his/her ways in order to succeed, reach own purposes and destinations and live, the reason we have schools, jobs, etc., which again they aren't solely paths or choices in life.

The thing is, we're always falling shorts on daily decisions that we make which are the ways that mostly decide our futures.

A tiny CEO's decisions rescues or kills the company, same goes to Pilot.

Decisions are what may bring sufferings and joyful life.

Let's be smart when making decisions guys [We Men]

Cheers all hustlering men out there!!🙌🏼🙌🏼
 
Nimesoma hii thread mpaka nimeumia, Mungu awabariki mno wanaume wetu, tunaona efforts zenu vile mnapambana kwa ajili yetu.! Kuna ile namna Baba ama Mume ana sacrifice kwa ajili ya familia yake mpaka una appreciate,
Wakati mwingine tunawalipa madhila ila mnajitahidi tu kutuvumilia, endeleeni kuishi na sisi kwa akili huku tukichukuliana madhaifu yetu.!!
Umenibariki sana kwa andiko hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.hata wasipo tu appreciate still Mungu bado anatubariki ndo maana tumekuwa Dominant katika kila sekta uchumi ,kilimo ,sayansi nakadhalika

terminology ya" MAN " sometimes inatumika kama binadamu kutu refer wote na kihuhalisia man maanake ni mwanaume

Mungu baba sijawahi kuskia mungu mama so pamoja na hustling za kutosha still tunazidi kubarikiwa
 
Umesahau kitu sisi tulikuwa wa kwanza kuubwa na Mwenyezi Mungu ndio wakaja wao sisi viongozi wa hii dunia kuanzia kwenye ngazi ya familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma hii thread mpaka nimeumia, Mungu awabariki mno wanaume wetu, tunaona efforts zenu vile mnapambana kwa ajili yetu.! Kuna ile namna Baba ama Mume ana sacrifice kwa ajili ya familia yake mpaka una appreciate,
Wakati mwingine tunawalipa madhila ila mnajitahidi tu kutuvumilia, endeleeni kuishi na sisi kwa akili huku tukichukuliana madhaifu yetu.!!
Konki
 
This one goes kwa mzee wangu!
Huyu jamaa kanipambania sana.
 
Kuna mdada nilizaa naye nalea mtoto.
Nawapa chakula na huduma zote muhimu.
Ila nimemuacha aendelee na ishu zake.
Kuna kipindi pesa niliyoitegemea kumpa ilichelewa kidogo, nikamuambia.
Niliporomoshewa matusi mpaka sikuamini.
Nilichofanya nilikaa kimya Kama mwezi mmoja.
Aliwatafuta ndugu zangu wamsaidie kuniomba msamaha.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom