Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

Na upande wa ujenzi iringa ni nafuu sana,mawe,bati,mchaga,kokoto,tofali na mafundi ni rahisi sana
 
Nyongeza

*Starehe kubwa ya vijana mbali na pombe ya ulanzi ni ngono.

*Ni mkoa unaoongoza kwa ngono zembe,hususani kwenye camps zinazojengwa porini wakati wa uvunaji wa mazao ya misitu.

*Kuna vyakula vingi vya aina tofauti na vipatilanavyo kwa gharama nafuu.
Yaaaah, nimeuna mwandishi alijaribu kuficha hii kitu kama kuwahifadhi wanamkoa maana kusema hajui hili ni uongo...
Kipindi nipo kule nilikuwa nawaogopa sana mademu was Kule kama ukoma ila ulanzi nimeonjaonja kimtindo.. Mwenzi Kama huu mashamba yameandaliwa tayari kwa ajili ya kugema ulanzi masika
 
Yaaah, kwa upande wa tofali na Mawe nakubaliana nawe maana tofali za kuchoma zimejaa sana alafu bei ni cheap... Mawe pia hata mwenye kipato cha chini anaweza ku-afford
Na upande wa ujenzi iringa ni nafuu sana,mawe,bati,mchaga,kokoto,tofali na mafundi ni rahisi sana
 
Wanawake wa Iringa rahisiii ila hawajui kuziosha wala mchezo wenyewe. Walete Tabora au Bukoba semina
 
Nimebahatika kuishi mikoa ya Tabora, Katavi, Mbeya, Morogoro, Ruvuma na Dodoma. Na sasa naishi Iringa tangu 2012. Je nini uzuri na ubaya wa mkoa wa Iringa hasa Mjini?

1. Iringa Manispaa si kubwa sana. Ni mji mdogo unaokua na umetulia sn. Hakuna vurugu na mishe mishe nyingi za kibiashara kama Mbeya na Morogoro.Umejengwa vizuri na kwa mpangilio ukilinganisha na baadhi ya mikoa kama Mbeya.

2. Kabila kuu hapa ni Wahehe. Ni watu poa na wasiopenda kudharauliwa na majivuno. Hawana mila potofu kama ilivyo kwa baadhi ya mikoa. Starehe yao kubwa ni pombe ya Ulanzi inayopatikana sana mwezi wa February.

3. Hakuna msongamano mkubwa wa bajaji hivyo hakuna kero za bajaji kama Mwanjelwa.

4. Ni mji msafi. Ni nadra kuona uchafu umezagaa hasa katikati ya mji na hakuna matope mvua ikinyesha. Maji hupotea mara moja mvua inapoisha.

5. Kuna vyuo na taasisi nyingi za elimu ambazo ziko karibu karibu.

6. Kiasi cha uhalifu ni kidogo sana. Kwa ujumla Iringa hakuna mateja au wahuni kama wale wa Arusha. Vijana wengi wa Iringa wamejikita kwenye kazi rasmi na zisizo rasmi.

7. Hali ya barabara inaridhisha kwa kiasi fulani. Barabara muhimu nyingi zina rami. Na zile ambazo hazina rami zinarekebishwa kila wakati hivyo kupitika vizuri.

8. Gharama za maisha ni za kawaida. Bei ya kupanga wastani ni elfu 20,25 mpaka 30 kutegemea na ubora na mahali.

9. Bei ya misosi. Kwa mama ntilie msosi unaanzia 1500 hadi 3000 kutegemea na aina ya mboga. Maharage,Nyama au samaki. Chips nyama 2000-3000

10. Hali ya hewa. Hali hewa ya Iringa Mjini hasa ni vipindi 2. Kipindi cha baridi na joto. Msimu baridi jotoridi huwa nyuzi 12C mpaka 24C. Msimu wa joto huwa 18C hadi 28. Ni nadra sana joto kupanda hadi 30C na msimu wa joto ndio msimu wa mvua.

11. Hali mvua. Pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa bado mkoa wa Iringa unapata mvua za kutosha na hivyo kuna uhakika wa kufanya kilimo maeneo ya vijijini. Mazao yanayolimwa ni Mahindi, Maharage, Mpunga, Viazi vitamu, Viazi mviringo, bila kusahau zao la miti linalolimwa wilaya za Kilolo na Mafinga.

12. Biashara. Kibiashara Iringa si mji wa mishe mishe nyingi. Bado idadi ya watu ni ndogo. Maduka mengi ya bidhaa ni madogo madogo na makubwa kiasi tofauti na miji kama Dodoma, Morogoro na Mbeya.

13. Utalii. Uwepo wa hifadhi ya Ruaha na Makumbusho ya Mkwawa unafanya kuwe na fursa mbalimbali za kitalii. Mfano makampuni ya Safari tours yanayosafirisha watalii.

Kwa ujumla Iringa inaendelea sana tena si kwa kubanana kama mikoa mingine. Huduma nyingi za kijamii zinazambaa kwenda nje ya mji. Mfano uwepo wa Stendi mpya nje ya mji eneo la Igumbilo umepunguza msongamano wa magari katikati ya mji kwa kiasi kikubwa

Mwisho. Iringa ni moja ya sehemu nzuri sana kuishi kwa mtu anayependa utulivu , ila kwa wazee wa mishe mishe inaweza isiwe sehemu sahihi.

Karibu Iringa
Ukiwa masikini na wa kipato cha kawaida utapaona pazuri. Tajirika uone mziki wao!
 
Iringa ni mkoa mzuri kwa mtu anaejishughulisha na uzalishaji wa kilimo na mazao

Vijana wengi wa wilaya zilizopo iringa ni watafutaji na si mabishoo

Kati ya wilaya zilizochangamka na ni nzuri kwa utafutaji ni wilaya ya mafinga + mufindi
Uko utakuta mbao na kilimo cha vianzi mviringo nk

Ukilima iringa subili kuvuna kwa sababu mvua ni uhakika na ni tofauti na mikoa kama Dodoma singida na Tabora

Kwa kweli watu wa iringa wengi wakalimu sana

Ukitaka kutafuta maisha anzia wilaya ya mufindi na mafinga utatoboa

Ukitaka kujenga kwa iringa ni rahisi sana kwa sababu gharama ni nafuu sana
Nimebahatika kuishi mikoa ya Tabora, Katavi, Mbeya, Morogoro, Ruvuma na Dodoma. Na sasa naishi Iringa tangu 2012. Je nini uzuri na ubaya wa mkoa wa Iringa hasa Mjini?

1. Iringa Manispaa si kubwa sana. Ni mji mdogo unaokua na umetulia sn. Hakuna vurugu na mishe mishe nyingi za kibiashara kama Mbeya na Morogoro.Umejengwa vizuri na kwa mpangilio ukilinganisha na baadhi ya mikoa kama Mbeya.

2. Kabila kuu hapa ni Wahehe. Ni watu poa na wasiopenda kudharauliwa na majivuno. Hawana mila potofu kama ilivyo kwa baadhi ya mikoa. Starehe yao kubwa ni pombe ya Ulanzi inayopatikana sana mwezi wa February.

3. Hakuna msongamano mkubwa wa bajaji hivyo hakuna kero za bajaji kama Mwanjelwa.

4. Ni mji msafi. Ni nadra kuona uchafu umezagaa hasa katikati ya mji na hakuna matope mvua ikinyesha. Maji hupotea mara moja mvua inapoisha.

5. Kuna vyuo na taasisi nyingi za elimu ambazo ziko karibu karibu.

6. Kiasi cha uhalifu ni kidogo sana. Kwa ujumla Iringa hakuna mateja au wahuni kama wale wa Arusha. Vijana wengi wa Iringa wamejikita kwenye kazi rasmi na zisizo rasmi.

7. Hali ya barabara inaridhisha kwa kiasi fulani. Barabara muhimu nyingi zina rami. Na zile ambazo hazina rami zinarekebishwa kila wakati hivyo kupitika vizuri.

8. Gharama za maisha ni za kawaida. Bei ya kupanga wastani ni elfu 20,25 mpaka 30 kutegemea na ubora na mahali.

9. Bei ya misosi. Kwa mama ntilie msosi unaanzia 1500 hadi 3000 kutegemea na aina ya mboga. Maharage,Nyama au samaki. Chips nyama 2000-3000

10. Hali ya hewa. Hali hewa ya Iringa Mjini hasa ni vipindi 2. Kipindi cha baridi na joto. Msimu baridi jotoridi huwa nyuzi 12C mpaka 24C. Msimu wa joto huwa 18C hadi 28. Ni nadra sana joto kupanda hadi 30C na msimu wa joto ndio msimu wa mvua.

11. Hali mvua. Pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa bado mkoa wa Iringa unapata mvua za kutosha na hivyo kuna uhakika wa kufanya kilimo maeneo ya vijijini. Mazao yanayolimwa ni Mahindi, Maharage, Mpunga, Viazi vitamu, Viazi mviringo, bila kusahau zao la miti linalolimwa wilaya za Kilolo na Mafinga.

12. Biashara. Kibiashara Iringa si mji wa mishe mishe nyingi. Bado idadi ya watu ni ndogo. Maduka mengi ya bidhaa ni madogo madogo na makubwa kiasi tofauti na miji kama Dodoma, Morogoro na Mbeya.

13. Utalii. Uwepo wa hifadhi ya Ruaha na Makumbusho ya Mkwawa unafanya kuwe na fursa mbalimbali za kitalii. Mfano makampuni ya Safari tours yanayosafirisha watalii.

Kwa ujumla Iringa inaendelea sana tena si kwa kubanana kama mikoa mingine. Huduma nyingi za kijamii zinazambaa kwenda nje ya mji. Mfano uwepo wa Stendi mpya nje ya mji eneo la Igumbilo umepunguza msongamano wa magari katikati ya mji kwa kiasi kikubwa

Mwisho. Iringa ni moja ya sehemu nzuri sana kuishi kwa mtu anayependa utulivu , ila kwa wazee wa mishe mishe inaweza isiwe sehemu sahihi.

Karibu Iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah iringa!! Nilikaa mafinga na iringa mjini wkt flani. Naikumbuka twistaz club kule gangilonga mademu wa kumwaga ukimwi wa kujiokotea! Nimemis sana pande zile one day ntatimba tena.
 
Ndio mkoa unaoongoza kwa vilabu vya pombe za kienyeji,karibu Kila mtaa una kilabu
 
Back
Top Bottom