Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
FB_IMG_1586795721267.jpg


Sent from Tapatalk
 
Mambo ya sikukuu
[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1374][emoji1374]
...Saa hizi kuna mtu anaoga anaenda kupewa mimba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

......Saa hiz kuna mtu anaambiwa chukua bajaji nitalipa.[emoji2807]


...Saa hiz kuna mtu anaambiwa nyooosha na njia hiyohiyo.
Ok nishaķuona

................Dk hii moja aliyopita kuna mtu anapewa nauli tu ya kurudia home, baada ya kaz ngumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


.......Saa hiz kuna mtu anaambiwa kumbe kelele zote zile unakibamia
[emoji2809][emoji2809][emoji2809][emoji2809][emoji2809][emoji2809][emoji2809]

Stay at home pasaka
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1693][emoji1621]🛺[emoji1379]

Jr[emoji769]
Wengine tupo na upweke wetu magetoni tu Pasaka yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom