Recent content by Nenetwa

  1. N

    Kikwete kilimo kwanza, Lowassa elimu kwanza!

    Katika bajeti ya Tanzania, tunaambiwa Elimu inaongoza kwa kupewa fedha zaidi ktk bajeti, hapa napata wazo la Elimu Kwanza (ili hali ubora bado duni), lakini upande wa pili, viongozi wetu wa juu serikalini wanatuhubiri Kilimo kwanza, hapa tena napata wazo la Kilimo kwanza (ili hali bado kilimo...
  2. N

    Kikwete siyo Makini: Prof. Anna Tibaijuka hakupaswa kuwa Waziri

    Naomba mwongozo! Yalipo maghala ya silaha, sio siri ya Jeshi kwa usalama zaidi? Je, wananchi huwa wanajua yalipo maghala ya silaha au hujua yanapolipuka tuu? Je, huwa ni rahisi na ruhusa kwa kiongozi yeyote (Mfano huyu aliyetajwa kwenye thread hii) kujua yalipo maghala ya silaha? Je, Kiongozi...
  3. N

    Wassira on ITV (kipindi maalum)

    Aksante, Naomba uendelee kutupasha habari kadri unavyoweza. Baadhi tuko mbali na TV!
  4. N

    Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha lini?

    Ni lini,Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha?:- 1.Ufisadi na rushwa sugu! 2.Ukosefu wa ajira na fursa finyu za kujiajiri! 3.Mgao sugu wa umeme! 4.Katiba 5.Mikataba hewa,feki na yenye kuchakachua maslahi ya umma! 6.Kupanda kwa gharama za maisha na shilingi kushuka thamani! 7.Elimu duni...
  5. N

    Uti wa mgongo wa tanzania ni nini?

    Nakushukuru kwa fikra nzuri Zing! 1.Kilimo ndicho tumekuwa tukiambiwa ni uti wa mgongo wa Taifa hili tangu enzi! japo bado njaa inazidi kutishia amani! Wakati mwingine tunaagiza vyakula toka nje ya nchi kufidia upungufu! na mfumuko wa bei ya vyakula unatesa wananchi wengi! NACHANGANYIKIWA KAMA...
  6. N

    Je viongozi wetu wanazo sifa hizi?

    Katika kutafuta huku na huko, juu ya sifa za kiongozi bora, nikafanikiwa kupata hizi:- 1.Honesty- Uaminifu 2. Responsibility- Uajibikaji 3.Confidence- Kujiamini 4. Enthusiasm- shauku kubwa juu ya kitu mfano maendeleo, mabadiliko ya kweli. 5. Reliability- kutumainiwa/kutegemewa/kuaminika...
  7. N

    Utaratibu Wa Kuandaa/kuandika Katiba Mpya ya Tanzania

    :thinking:Kwa maoni yangu napendekeza utaratibu ufuatao katika kuandaa/kuandika Katiba Mpya ya Tanzania. Hatua 1:Kubainisha udhaifu/mapungufu yaliyomo katika Katiba ya sasa.Mapungufu hayo yawekwe wazi hadharani na katika maandishi.Watu binafsi,taasisi,asasi,mashirika,wanazuoni,washikadau wote...
  8. N

    Baba wa Taifa Mwl J.K Nyerere alisema ...........

    "No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968. - ON MY OPINION:We should NOT let ICC decision on Dowans be our decision. We have our own State...
  9. N

    Napata utata kuielewa ibara 54(5) ya Katiba ya Tanzania.

    Ndugu zangu naomba msome ibara hii niliyoinukuu kutoka kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Angalieni ibara ya 54(5) na mnisaidie kuielewa,hainiingii akilini. “Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania _________________________________________________________________ Baraza la...
  10. N

    Kizungumkuti Dowans

    Viongozi wa nchi, fanyeni hima kuinusuru hali hii, msiwalipe Dowans-Richmond, mtawadhulumu watanzania. Someni alama za nyakati kuinusuru nchi, wananchi wameanza kuchoka na ubabaishaji, ufisadi na kubebanabebana. Yanayoendelea sasa si lengo la watanzania. Rekebisheni makosa, simameni imara...
  11. N

    Kizungumkuti Dowans

    UKO WAPI UZALENDO?: Tsh 94,000,000,000. Hiki ndicho kiasi (kwa makadirio yaliyo karibu) cha mabilioni ambacho Mtanzania anashawishiwa kuwa hakikwepeki kuwalipa Dowans-Richmond. Mbona umeme bado wa mgao? Enyi mnaodai kuwa malipo haya hayakwepeki, waonesheni Watanzania katika Televisheni mambo...
  12. N

    Ningependa tanzania ya hivi!

    NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje kwa wingi. Wastani wa miaka mingi ya kuishi (High life expectancy). Je wewe Ndugu yangu Mzalendo...
  13. N

    Ningependa tanzania ya hivi!

    Hii Tanzania ninayoitaka, Itafikiwa hivi: FURSA SAWA KWA ELIMU BORA YENYE KUMPATIA MHITIMU MABADILIKO ENDELEVU YA KUDUMU KATIKA NGAZI(DOMAINS) ZOTE ZA MAARIFA, UJUZI, STADI NA MIELEKEO/MAADILI/TABIA ILI AWEZE KUITUMIA ELIMU HIYO KATIKA KUYAMUDU MAISHA NA MAZINGIRA YAKE. KAMA LENGO HILI KUU LA...
  14. N

    Ningependa tanzania ya hivi!

    NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje kwa wingi. Wastani wa miaka mingi ya kuishi (High life expectancy). Je wewe Ndugu yangu Mzalendo...
Back
Top Bottom