Baba wa Taifa Mwl J.K Nyerere alisema ........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa Taifa Mwl J.K Nyerere alisema ...........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nenetwa, Jan 24, 2011.

 1. N

  Nenetwa Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  "No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."
  Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968. -

  ON MY OPINION:We should NOT let ICC decision on Dowans be our decision. We have our own State (Government), our own Legislature and our own Court/Judiciary System.If these three organs function responsibly with accountability, they are enough to decide NOT TO PAY DOWANS for our National Interest. ICC is NOT part of our Court System, then, they have NO right to make decisions for us.

  We should adhere to the following Nyerere's quote:-

  "...intellectuals have a special contribution to make to the development of our nation, and to Africa. And I am asking that their knowledge, and the greater understanding that they should possess, should be used for the benefit of the society of which we are all members."
  Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Maendeleo (Freedom and Development), 1973. -

  MY ADVICE:- Leaders of this country,I am really sure that, you got Education during President Nyerere's time, then you are included in the group of "intellectuals" he was talking about. Please DO NOT FAIL HIM,Do not fail J.K Nyerere. Leaders of this country, Use your knowledge,skills, attitude and good conduct for the benefit of the People. Leaders of this country, you should also let free, afford, assist,guide,enable and lead the whole process of making sure that the young/junior and senior intellectuals of this country are fully involved

  Leaders of this country, you should not forget but remember the following words from "UHURU NA MAENDELEO BY J.K NYERERE"

  "Uhuru na Maendeleo ni vitu vinavyohusiana sana; uhusiano wao ni sawa na uhusiano baina ya kuku na yai! Bila ya kuku hupati mayai; na bila mayai kuku watakwisha. Vile vile, bila ya uhuru hupati maendeleo, na bila ya maendeleo ni dhahiri kwamba uhuru wako utapotea.
  Uhuru unategemea maendeleo. Tunapozungumza habari za uhuru maana yetu nini hasa, Kwanza, kuna uhuru wa nchi; yaani uwezo wa wananchi wa Tanzania kujipangia maisha yao, wakijitawala wenyewe bila ya kuingiliwa kati na mtu ye yote asiyekuwa Mtanzania.

  Pili, kuna uhuru wa kutosumbuliwa na njaa, maradhi, na umasikini. Na tatu, kuna uhuru wa mtu binafsi; yaani haki yake ya kuishi, akiheshimika sawa na wengine wote, uhuru wake wa kusema na uhuru wake wa kushiriki katika uamuzi wa mambo yote yanayogusa maisha yake, na uhuru wa kutokamatwa ovyo na kutiwa ndani kwa kuwa tu kamuudhi mkubwa, japo kama haku-vunja sheria yo yote. Yote hayo ni mambo yanayohusu uhuru, na hatuwezi kusema kuwa Wananchi wa Tanzania ni huru, mpaka tuwe tuna hakika kwamba wanao uhuru wa mambo yote hayo"
  . J.K Nyerere, UHURU NA MAENDELEO.

  Ewe Mtanzania mwenzagu, Tuyatafakari Maendeleo yetu na Uhuru wetu kwa kina.


  REFERENCE & SOURCE/ REJEA & CHANZO: Mwalimu Julius K. Nyerere | Father of the Nation
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Nyerere was good in speeches yet all chaos, problems and sufferings are result of his leardership. Mbona alivamia syechelles na kumweka rais, mbona alipanga mapinduzi ya Zanzibar, mbona aliivamia Uganda!!

  uhuru upi anaousema Nyerere?? alitawala Tanzania na sasa kawaachia watoto wa chama alichokitawala, ni hivi maneno uliyoya quote Rostam na Lowasa wanayajua kwa kichwa!!! JK kaimba sana akiwa chipikuzi na mgawa kadi wa TANU kutumia maneno hayo ni simply wastage of time, TUNISIA style is far better! watu wanatenda dhambi wakiwa na misahafu sembuse maneno ya Nyerere!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Waberoya, if the facts don't fit the theory, change the facts.
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  CCM ya Nyerere ilikua ya kujivunia...pamoja na mambo mengi yaliyofanyika kibabe lakini uadilifu ulionekana...Nyerere alichukia rushwa,na alichukia kwa moyo,mwili na nafsi....CCM ya Mwinyi ilikua ya kila mbuzi kula usawa wa kamba yake...Mkapa akaja na Ukweli na uwazi uliokosa mvuto mwishoni ila wa kujivunia(km kipimo ni CCM ya sasa) CCM ya Jk ni ya fitna,majungu,makundi,na propaganda...itawafia tu mikononi wakati Tiba ii wazi! Matendo yao
   
 5. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kila mwaka 14th Oct wanaimba kumuenzi JKN, nionyeshe japo jambo moja analoenziwa na CCM. Wanasema sikio la kufa... Kuokoa nguvu na muda achana na Dowans yao maana wana namna nyingi za kuiba hata wasipolipa Tsh 94b
   
Loading...