Je viongozi wetu wanazo sifa hizi?

Nenetwa

Member
Jan 16, 2011
14
0
Katika kutafuta huku na huko, juu ya sifa za kiongozi bora, nikafanikiwa kupata hizi:-
1.Honesty- Uaminifu
2. Responsibility- Uajibikaji
3.Confidence- Kujiamini
4. Enthusiasm- shauku kubwa juu ya kitu mfano maendeleo, mabadiliko ya kweli.
5. Reliability- kutumainiwa/kutegemewa/kuaminika
6. Patience-ustahimilivu.
7. Decisiveness-Uwezo wa maamuzi sahihi.
8.Determination-ushupavu na azma ya kuamua kwa dhamiri.
9. Loyalty- Utiifu wenye maslahi na kukubalika kwa wengi.
10. Courage-Ujasiri wa kuthubutu,ushujaa.

Nimebahatika kupata hizi.wadau ongezeni zingine zaidi.
Je viongozi wetu wa ngazi zote wanazo sifa hizi?
Tuwapime, kabla hatujawapa mamlaka!
 
Wapo wenye sifa kama hizo,au wanakaribia kuwa nazo ,lakini Tz na wTz wengi hatuangalii hivyo.2naangalia anayenipa tshirt,kofia,kanga,nk.dini yangu,na wengine sura yake.MUNGU TUSAIDIE
 
Katika kutafuta huku na huko, juu ya sifa za kiongozi bora, nikafanikiwa kupata hizi:-
1.Honesty- Uaminifu
2. Responsibility- Uajibikaji
3.Confidence- Kujiamini
4. Enthusiasm- shauku kubwa juu ya kitu mfano maendeleo, mabadiliko ya kweli.
5. Reliability- kutumainiwa/kutegemewa/kuaminika
6. Patience-ustahimilivu.
7. Decisiveness-Uwezo wa maamuzi sahihi.
8.Determination-ushupavu na azma ya kuamua kwa dhamiri.
9. Loyalty- Utiifu wenye maslahi na kukubalika kwa wengi.
10. Courage-Ujasiri wa kuthubutu,ushujaa.

Nimebahatika kupata hizi.wadau ongezeni zingine zaidi.
Je viongozi wetu wa ngazi zote wanazo sifa hizi?
Tuwapime, kabla hatujawapa mamlaka!

Thank you for the best educative thread, just to add that that a leader must be committed (kujitoa) to serve people with no any good reason of failing.
a committed leader is leading and others follow and this quality be seen by actions and involving people in all decision levels.
 
Back
Top Bottom