Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nenetwa, Mar 13, 2011.

 1. N

  Nenetwa Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni lini,Matatizo haya, kero hizi, usumbufu huu utaisha?:-
  1.Ufisadi na rushwa sugu!
  2.Ukosefu wa ajira na fursa finyu za kujiajiri!
  3.Mgao sugu wa umeme!
  4.Katiba
  5.Mikataba hewa,feki na yenye kuchakachua maslahi ya umma!
  6.Kupanda kwa gharama za maisha na shilingi kushuka thamani!
  7.Elimu duni hasa msingi na sekondari!
  8.Viongozi wenye kujali maslahi binafsi na kusahau ya umma!
  9.Dalili/tishio la kuwepo njaa na kilimo cha kutegemea mvua!
  10.Unyanyaswaji, ukandamizwaji, na unyamazishwaji kwa wapenda haki na usawa!
   
Loading...