Recent content by nembanemba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiislam

    yap
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiislam

    Nashindwa jinsi ya kutuma PM mm mgeni huku JF
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiislam

    Bado unatafuta mtu au ulishapata
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Maabara na duka la dawa

    Mm nina mdogo wangu kasomea hayo mambo ya madawa km bado hujapata mtu nitafute kwa namba hii tuwasiliane 0683403525
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jipu: Wahindi waanza kubadilisha vyeo

    Sadolin Paints ni jipu jingine,Mbaya zaidi kuna vibarua wana miaka hadi 8 hawajawa recruited hadi leo yani huwa inaniuma sana akija Muhindi ni faster.Wana mtu wao Immigration uyo ndio huwa anawafanyia michakato yote ya jinsi ya kufanya kazi hapa mwisho wa mwezi ukifika anapewa bahasha nono jamaa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jipu: Wahindi waanza kubadilisha vyeo

    Waende na Sadolin Paints iko Tazara pale kuna jamaa anajiita Commerciak Manager wakati anafanya kazi zote za uhasibu ambazo hata mtu wa Certificate ya uhasibu anafanya..Yani pale wanashushwa kila siku kutoka India ndani ya siku tatu unakuta ana hadi Driving licence unajiuliza kaipataje hujui..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Mm naona tungezitaja kampuni zinazoleta wageni kiholela ili kurahisha hili zoezi maana wengine tunayajua na tunafanya nao kazi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Azam Tv kwa Tshs 60,000/=

    Weka namba ya simu na unapatikana wapi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mm nmecheki movie za kikorea hata 20 zimefika lakini naomba kutoa heshima kwa movie moja tu inaitwa THE QUEEN OF AMBITIOUS.Hii movie ina mafunzo mpaka kwenye maisha yetu halisi tunayoishi.Kila part ina mafunzo.iko poa sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Temeke watu walisali mchana na usiku Mtemvu aondoke,kuanzia jana saa nane mchana aligoma kusign matokeo,watu wameshinda Duce na jana mabomu yakapigwa kutawanya watu hatimae yametimia,,mbaya zaidi anaishi Mbezi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nani anaandikaga subtitles za movies za Bongo?

    Jamani ni sawa bongo movie wanakosea sana ila haya mambo hata kwa wenzetu yapo.Kuna movie moja ya wakorea inaitwa missing you"ile movie ilibidi niitupe walikuwa wanaongea lugha yao ila subtitle ni kingereza ilikuwa ni zaidi ya bongo movie.Yani ilikuwa mbaya huelewi kitu.Sikuweza hata...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimemkimbia traffic police

    Ilo soo jua halijaisha wanatabia kushika plate no.siku akikushika tena akakukumbusha usishangae.Siku nyingine ni vyema kusimama ukamsikiliza
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pata gari used kwa bei poa

    Hiyo gari ya kwanza inashida gani mkuu mbona imetangazwa kila mahali na haitoki
Back
Top Bottom