Pata gari used kwa bei poa

Pata gari used kwa bei poa

Angalia hapa chini baadhi ya gari kwa maelezo piga 0718849462
 

Attachments

  • 1438497068052.jpg
    1438497068052.jpg
    50.5 KB · Views: 364
  • 1438497109484.jpg
    1438497109484.jpg
    84.9 KB · Views: 317
  • 1438497152900.jpg
    1438497152900.jpg
    49.5 KB · Views: 328
Ungekuwa unaweka na bei pamoja na picha za ndani ya gari ungevuta wateja, kuliko mtu aweke vocha akupigie akute gari unauza 7 mil wakati yeye ana 3 mil ni kumwongezea gharama za sm bila sababu za msingi, hebu fikiria kama kila mtu atafanya kama wewe huyo mnunuzi hela yote si itaishia kwenye vocha tu kabla hata ya kununua hilo gari lenyewe?
 
Hahaaaaaaaa JF bhana never boring Vocha Mkuu tatizo
 
Hiyo gari ya kwanza inashida gani mkuu mbona imetangazwa kila mahali na haitoki
 
Angalia baadhi ya gari hpa chini kwa maelezo zaidi piga 0718849462
 

Attachments

  • 1438774185928.jpg
    1438774185928.jpg
    69.1 KB · Views: 414
  • 1438774278288.jpg
    1438774278288.jpg
    73.4 KB · Views: 344
Pata gari aina ya opaq kwa bei poa kuanzia M5 hadi M4.5 angalia hpa chini picha kwa maelezo piga 0718849462
 

Attachments

  • 1438836805422.jpg
    1438836805422.jpg
    44.6 KB · Views: 310
  • 1438836842756.jpg
    1438836842756.jpg
    48.1 KB · Views: 294
Pata gari aina ya opaq kwa bei poa kuanzia M5 hadi M4.5 angalia hpa chini picha kwa maelezo piga 0718849462
Ni ya mwaka gani, imeenda km ngapi,imemilikiwa na watu wangapi kabla ije TZ na hapa TZ pia, nini matatizo yake ya mara kwa mara?
 
Angalia hapa chini uwone opaq nauza kwa sh.m5 hadi 4.5 aina problem yyote
 

Attachments

  • 1439031330173.jpg
    1439031330173.jpg
    44.6 KB · Views: 184
  • 1439031355011.jpg
    1439031355011.jpg
    48.1 KB · Views: 159

Similar Discussions

Back
Top Bottom