Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Nimeamua kujiajiri na kuajiri wengine kwa kuanzisha maabara inayotoa huduma ya kupima magonjwa mbalimbali kama Malaria, UTI na minyoo. Hivyo natafuta wafanyakazi wa kada mbili. Mmoja kwa ajili ya maabara na wa pili kwa ajili ya kuuza dawa kwenye duka la dawa baridi.
Huduma hiyo itakuwa Dar, wilaya ya Kinondoni, maeneo ya GOBA. Kama kuna mtu au watu unaowafahamu wenye sifa hizo naomba tuwasiliane kwa Pm. Asanteni
Huduma hiyo itakuwa Dar, wilaya ya Kinondoni, maeneo ya GOBA. Kama kuna mtu au watu unaowafahamu wenye sifa hizo naomba tuwasiliane kwa Pm. Asanteni