Recent content by Nelson Novaty

  1. N

    UKUTA wa CHADEMA wapata ufa,kuanguka Septemba mosi bila hata polisi

    Siku zote akili kubwa itabaki kuwa akili kubwa.
  2. N

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Miaka zaidi ya 20 ktk chama umeahindqa kukijenga,leo unataka tena tena kimabavu. Umesahau nini? Ulijiudhuru kwa ridhaa yako kisa UKAWA kumpokea Lowasa na ukawaacha ktk ya vita. Wewe si mwanaume shupavu ni wa kukataliwa kabisa,hukuombwa kujiudhuru bali yalikuwa matakwa yako na Lowasa...
  3. N

    Naandika kwa Mara nyingine kuhusiana na Kufutiwa vyeti...

    IFM kuna watu walikuwa HKL wakapiga Computer Science daah.
  4. N

    Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

    Mama anampenda mabeto wakati Dai anazalisha kwa Zari tuu? Ndiyo tatizo la mama zetu sometimes sijui huwa wanapewa nini.
  5. N

    Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

    Kwasasa issue si chuo ila ni kipi unacho though kuna sector zingine bado wamekaliliUDSM ya miaka ile sawa na ya leo. Kuna vijana wengi tuu wa UDSM wamepata kazi ila hawajui kitu na wanawafata vijana wengine waliosoma vyuo vingine either waliopo makazini au bado wanatafuta ili wawasaidie hasa...
  6. N

    Maamuzi ya kukurupuka yameigharimu stars yangu leo

    Hivi Yondani ni mgonjwa?
  7. N

    Jhpiego hivi kazi mnazotangaza huwa mnakuwa na nafasi za kazi kweli au ni kujaza CV tu?

    JHPIEGO ni waswahili kinoma,mnaweza fanya interview ila akaja ajiliwa mtu ambaye hakuwepo kbsaaa ktk interview. Kuna mtu yupo pale niliongea nae akaniambia usipoteze muda mdogo wangu,bora zamani ila siyo siku hizi.
  8. N

    Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

    Kiswahili,nadhani ilikuwa kutokana na bifu na mwalimu wa somo.
  9. N

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Zana za NATO? Dunia haipo huko tena hivyo vifaa miaka kibao nyuma watu wanacheza na Tecknolojia tuu sasa.
  10. N

    Tanzania Commandos show

    US si levo yetu
  11. N

    Aisha madinda

    Ni mwanasiasa??
  12. N

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    Kuua azimio la Arusha na kujilimbikizia mali,vilihasisiwa na baba wa Taifa? Tunapoambiwa ukweli na wapinzani tuukubali ukweli na tujenge hoja. Nchi gani imekuwa km ya walanguzi?
  13. N

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    Kwann wapinzani tuu? Madudu mangapi yanafanywa na CCm serikali inayafumbia macho? Nijibu nami,haya yasasa ya CCm ndiyo tuliyoachiwa na baba wa Taifa?
Back
Top Bottom