NGARUKA
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 401
- 70
KIWANGO KIBOVU,UTEUZI MBOVU,NDO HALALI.
Kwa stars yetu hii imekuwa tatizo kubwa,siku ya kufa nyani ...
Mkwasa alianza vizuri ila kitendo cha kutojiamini na kutaka kum please Samatta itamgharimu sana.
Masupa star wote duniani wamecheza kwanza na makapteni watangulizi mpaka kepten aliyopo anaridhia.
Kulikuwa na haja gani faster faster kumtoa Cannavaro na kumpa Samatta? Hii inamaanisha Faridi Musa akicheza La liga akirudi tu apewe ukepteni. Ndyo? sababu la liga ni bora kuliko Belgium pro league.
Godfrey Mwaisabile naye akisajiliwa Sunderland akirudi awe kepteni coz EPL inapendwa zaidi kuliko Laliga.Unamnyang’anya ukepteni mtu ambaye hana hata misimu miwili mbele kwa nini usimjenge kisaikolojia ukamtumia,Nani hajui ukabaji na umahiri wa canavaro? (MAAMUZI MABOVU)
2:0 Nyumbani ni kipigo sawa na 8:0 ugenini.
Magoli yote ni kupwaya kwa mabeki wa kati mpaka haji mwinyi anakuja kufanya coverage na kufanya yeye ndo apwaye katika nafasi yake.Unamuingiza Boko(Mzee wa Kupoza) unawaacha Kichuyana Kaseke nje na umeshapigwaKwa hali hii kufuzu makundi yoyote labda kundi liwe hivi.
KUNDI D
1. DJIBOUTI
2.COMORO
3.SOMALIA
4.TANZANIA.
Wa hapahapa