Recent content by Neema J Makene

  1. N

    Nabii Flora wa Mbezi DSM ameumbuka Uchaguzi Arumeru!

    Jamani, Mungu atuhurumie.Tusipokuwa na roho wa Mungu tutayumbishwa sana na haya makanisa.
  2. N

    Mbowe atoboa siri

    Kweli viongozi wa chadema mmeonesha mshikamano wa hali ya juu sana, na safari hii mmemulika mwizi vilivyo, viva chadema, tulianza na Mungu, tumemaliza na Mungu.
  3. N

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Mke wa mtu ni sumu,usijaribu mzee
  4. N

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    akili matope, utajuta msukuma wewe
  5. N

    Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

    safi sana, dawa ya moto ni moto wamezoea kuwageuza wabunge wetu watoto
  6. N

    Namna ya kuchangia CDM kifedha na kimawazo

    Peples power Dr, pamoja sana, mapambano hayaendeshwi kwa maneno bali kwa vitendo kama vile, kuchangia pesa, kushiriki makongamano na maandamano, tuko nyuma yako Dr.
  7. N

    Muswada wa Katiba waondolewa kinyemela!

    Wanajaribu kuwabeep wananchi, watawapigia ohoooooo, watanzania wa leo si wa miaka ile.
  8. N

    Tundu Lissu: Ngeleja amelidanganya bunge

    Go on Lissu , tuko pamoja
  9. N

    Mchakato wa kurejesha mali za CCM kwa wananchi

    Naunga mkono hoja 100%
  10. N

    Una miaka 30 au chini? Kachukue fomu ya BAVICHA

    GOD be with us to accomplish this.:yield:
  11. N

    Sylvester Rwegasira wa TRAWU hatunae tena

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali mema peponi , AMINA.
  12. N

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Anakaribishwa, ila tpe kama za akina Shibuda hatuzhitaji, Mungu ibariki chadema na viongozi wake wape hekima na utaishia wa kuwaongoza watanzania.
  13. N

    Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

    Naisubiri siku ya ukombozi, freedom is coming tomorrow:yield:
Back
Top Bottom