Sylvester Rwegasira wa TRAWU hatunae tena

Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa wafanyakazi lakini nimeangalia mlimani tv hawajatangaza labda taari ya saa mbili.
 
RIP Rwega, kwa kuzingatia hali ilivo tete ndani ya TRL, na jins marehem alivokuwa mwiba kwa selikali. Shall i be wrong to suspect some 1 to be behind that death?
 
Lazima kuna mkono wa mtu. Watu wa aina ya Rwegasira lazima wajifunze kuwa makini na maisha yao. Wajilinde kila wanapokwenda na chakula na maji wanayotumia lazima wawe na amani navyo maana muda wote wapo vitani na mafisadi.
 
Jamani vifo vya ghafla hivi mbona vinataka kushika hatamu? Tukae tayari kusikia jipya TRL mana hawakawii si wamepata kiupenyo... mie binafsi nlikuwa nampa salute Rwegasira kwa kumakinika kwake na utetezi wa haki za wanyonge, kweli vizuri havidumu.
:rip: R.I.P Kamanda mtetezi
 
Duh Jamani wafanyakazi tumepoteza jembe letu. Naomba wafanyakazi wampatie nishani ya ushujaa wa wafanyakazi Tanzania ifikapo May mosi mwaka huu. Amekuwa na mchango mkubwa sana kwa TRAWU na TUCTA kwa ujumla, hakuwa mnafiki na bahati mbaya mungu amemchukua kabla hajakamilisha kazi yake ya kuwatetea wafanyakazi wa reli japokuwa ameifikisha vita karibu na ukingo. Nasikia kuwa leo ilikuwa ahudhurie mkutano wa wafanyakazi. RIP Jembe la Wafanyakazi Tanzania
 
Kifo ni kifo lakini chako kamanda, duh! Pumzika kwa amani shujaa wetu.
 
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa reli - TRAW kwa mujibu wa TBC1 ni kwamba amefariki dunia. Ni msiba mzito kwakweli.
 
Jamani wanaJF tupeane pole tumempoteza mpigania haki ya wanyonge kwenye sekta ya shirika la reli Jamani nchi hii toka achakachuliwe EDWARD MORINGE SOKOINE imekuwa laana tupu mbona viongozi wanaosema ukweli ndo wanaokufa why!!!!!!!!!!?
 
Tanzania imempoteza mzalendo na mtu aliyelipenda taifa lake na kulipigania. Pumzika kwa amani kamanda Rwegasira.
 
Back
Top Bottom