Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

CCM NI CHAMA PEKEE KILICHOBEBA MWENYEKITI ALIYEKO MADARAKANI WA CHAMA KINGINE....mbinu na mikakati yake ipo hatua nyingi mbele ya wapinzania wake
 
CCM NI CHAMA PEKEE KILICHOBEBA MWENYEKITI ALIYEKO MADARAKANI WA CHAMA KINGINE....mbinu na mikakati yake ipo hatua nyingi mbele ya wapinzania wake

Hayuko peke yake mkuu, umemsahau na Richard Kiyabo, hilo ndio kokoro A.K.A ccm, chama cha majambazi.
 
Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli

Huyu ni bomu, ndio mamluki wenyewe hawa. Ametoa ngozi ya kondoo, anaonekana bayana nimbwa mwitu.:rip:
 
Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli

Na akome!atajuuuuta kudandia jahazi linalozama!!!
 
Tuseme basi Shitambara amekuwa TAMBARA la Kuifuta vumbi miguu ya CCM ili angalau iangae upya ingawaje siyo rahisi. Kwa ufupi Shitambara ame thibitisha kuwa upeo wake wa kuona mbali ni mfu.
 
hao wanaitw amalaya wa kisiasa! mwisho wao ndo huo! huko atachojolewa asitegemee vya bure sasa hivi chichiemu nao wana watu makini ktk utazama tamaa! yaani wana tamaa kushinda za mwili ktk siasa !
 
Mtu akiipoteza roho yake kwa ajili ya mwili wake ja anafaida gani kwa dunia hii? Huyu ni "0" hapa duniani na mbinguni pia ni zero! Hana lolote tena full stop!
 
Akina tambwe hiza bado hawajaisha............wazushi,waongo,wabinafsi.........ndo sambweeeeeeeeeeee
 
hata akazikiri uchi kipindi chote kilichobaki kufikia uchaguzi mkuu wa 2015 hawezi kupata hiyo nafasi...........!!!!!

Never Say Never, actually ni vigumu sana kwa Shitambala kupitishwa kuwa mgombea wa CCM kuliko kumshinda Sugu kwenye uchaguzi wa 2015, kama ataliweza hilo la kwanza la pili ni jepesi mno, kwa mueleko unavyokwenda Sugu kama ilivyo kwa Rev Msigwa wa Iringa ni one term MPs!!
 
Siasa kitu cha ajabu aliowatukana akiwa CDM ndo hao anakokotana nao kwenye msululu.[/QUOTE]

Wanasema wanasiasa hawana tofauti na plyaboy na machangudoa; kama huna pesa amekuacha na kama umelipia kidogo atakurudishia kidogo chako awahi wenye uwezo!!!!
 
Back
Top Bottom