Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Itakuwa rahisi kuwaeleza watu gani? Machizi ambao hawajui mbunge wa mtera alisema nini mwezi February au? Vipi dvd ya mbunge wa mtera imegoma kutengenezeka au? Endeleeni kuingia choo cha kike mbele ya macho ya wananchi, itaendelea kula kwenu hadi mshangae.

Mbona unapanic? Subiri labda na wewe utapata safari ya kumsindikiza the Hague.
 
Kila siku CCM waliambiwa ni mafisadi wakang'aka kweli wakiongozwa na makamba leo Kikwete anakiri kwamba CCM kumejaa mafisadi. Mimi najiuliza hawa mafisadi waliogunduliwa leo ndani ya CCM wamezuka kutoka wapi?? na Lini??

CCM pumbafu kabisa!!!
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Wewe ndo hamnazo....nyama wewe!!
 
Binafsi sikumsikia Lema, kama ni kweli kasema hiyo ni nzuri sana, sometimes bila hands exchanging heshima haiji, inafaa mara moja moja badala ya kushake hands waexchange hands naamini hata kudozoana bungeni kutapungua na mtu akisimama anaongea kitu cha maana.
 
Wewe bwana New dawn tz,kuna neno umelitumia apn juu,wasen**naomba mod akuban mara moja,usituletee b'"ngi umu.

Mods gani unaowazungumzia wewe? Huyu anapaswa kuongezewa rep powers kwa kutumia lugha rasmi ya JF mpya.
 
sasa wale akina mama waliogawa ngono mpaka wakachaguliwa kuwa wabunge mnategemea nini? hamjui ni kawaida ya malaya na mashangingi kuzomea na kupayuka? yuko wapi mbunge makini wa viti maalum wa ccm ambaye twaweza kusema huyu aliingia kihalali? rita mlaki? anna abdalah? mlata?
 
Nionavyo mimi, bado wabunge wengi wa ccm wanaendeleza ushabiki wa vyama badala ya kufanya mambo ya msingi na hawataki kusema ukweli inapotakiwa ili mradi waonyeshe utofauti na wana CDM, HII ITAWAPELEKA MACHINJIONI KUELEKEA 2015. Nasi tujipange sawasawa kuelekea huko si porojo tu. Ukimwona mwenzako anavua gamba wewe................
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!<br />
Kweli Chadema ni hamnazo!
<br />



Acha kushudia Uongo,wakati hilo linatokea mm nilikuwa nafuatilia Live,wakati sauti iliyosikika ikisema maneno hayo Camera ilikuwa imeelekezwa kwa Waziri mkuu na haikuwa clear enuf kujua kuwa ilikuwa sauti ya nani!!

Hata kama kungekuwa na ushahidi kwamba Lema alisema hivyo simshangia,Wabunge wasisiemu wamezidi Uchakachuaji!!!
Mimi ningetembeza makofi kabisa;Its a defining moment! Mabunge ya nchi zilizoendelea na watu wanazichapa sembuse hilo bunge la Ccm?
 
We unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaona wale mashoga na "chakla ya wakubwa" waliojazwa mule kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?

Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu

Visichana vyenu na ile mijinga ya kiume mliyoijaza kule ndani kushabikia badala ya kusimamia maslahi ya taifa ndiyo inayoleta adha zote na wewe umeamua kuangalia tokeo la tatizo na sio mzizi wa tatizo....na makonde mtayala sana mpaka mchange akili

Visichana vyote vinavyovaa rings miguuni vipo pale kama chakla ya wakubwa. Ndiyo maana nchi haiendelei. Lema aliongea hivyo kwa sababu alijua wabunge wengi wa ccm ni 'mlenda' tu.
 
Kama kweli basi bunge sasa litachangamka na kupunguza pumba.

Yes! Ujinga huondolewa kwa elimu lakini UPUMBAVU hauwezi kuondolewa kwa elimu! Maana Wapumbavu wameweza kujipenyeza hadi sehemu takatifu na wanaruhusiwa kuwapo na kushabikia upuuzi dawa yao NGUMI tu ili wajue kuwa Bungeni siyo sehemu ya kuzomeana na kukubaliana na uvunjivu wa kanuni, na kupitisha miswada isiyozingatia maslahi ya wananchi waliowatuma pale. Hongera LEMA leo nimekuta wewe unamaanisha kile ulichotuahidi: be Blessed waoga hao CCM:
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!

Kusema unawafahamu siyo sifa, mbona jambo la kawada tu kumfaham mtu kwanza unampa huyo mtu sifa, si ungegombea wewe? Halafu hujatuambia unamfahamuje? Maana unaweza kumfahamu mtu vibaya kwamba ulitaka msaada kwake akakunyima ? Huo pia unaweza kwako kuwa ubaya wake bila kujua wewe ukoje! Ni tapeli au? Hili ndilo bunge tunalitaka, wanaume ni kuonana tujue nani yuko kwa maslahi ya taifa. Pole ndg&#1548;
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Kabla hatujaendelea kujadili, umejuaje au una ushahidi wowote wa kuthibitisha kuwa alietoa kauli hiyo ni Lema?
 
Jesuit ulitakaje? ulitaka wakumbatiane?

Lema hayuko pale kama zuzu anajua anacho kifanya..

Usishangilie maendeleo kwa kuwa mnazi wa chama flani sawa? unaweza ukamlinganisha Lema na wabunge wa CCM?

La hasha hakuna hata mmoja
 
Walitaka kuzima hoja ndo maana Lema akaomba muogozo kwa anna kama anaweza kufunga mlango waanze boxing mbona ni kawaida ya mabunge ya wenzetu pale inapobidi naunga hoja ya Lema 1000%



Muda sio mefu Bune letu litakuwa kama la JAPAN,RUSIA na kwineko mtu ukitetea pumba unakula kichapo kwanza ndipo unapata adabu na akili ya kutetea Taifa.
CCM wako kama Punda bila kiboko haende wala habebi mzigo dawa ni moja viboko kwa kwenda mbele mwisho wa siku watanyooka tu...
CUF,NCCR,UDP nao wanahitaji viboko maana wako kama picha bungeni sijaona cha maana walichokifanya hadi sasa wao ni Magamba B hawawatendei haki wananchi waliowaingiza pale mjengoni!

Yaani inatia hasira hasa watu badala ya kujadili mambo ya umuhimu kwa manufaa ya taifa wao wanazomea na kuuza sura zao SHAME ON YOU MAFISADI MAGAMBA!
 
kwahiyo unadhani wangefunga wakachapana cdm leo wabunge wote siwangekuwa muhimbili?

Wewe kwa mawazo yako unafikiri ushindi ni wingi wa Majeshi? Ndo maana mnafikiri wingi wa wabunge ndio wingi wa hoja zenye nguvu! Jiulize ilikuwaje Israel ikashinda mataifa ya kiarabu kwa vita ya siku sita tu? Na Israel ni kama Mkoa mmoja wa Tz&#1563; Hujui bado fani ya mapigano wewe! Pia hujui siri ya ushindi kabisa ndg yangu&#1548; poleni
 
Tena mie natamani spika angewakubalia wakafunga, sahizi watu wangekuwa mazishini. Maana wabunge zaidi ya mia2 kwa wabunge chini ya 50.

Akina lema wangepata kichapo kama walichopata mabaunsa kule tegeta. Cdm wao kama wanavyojidai kuwa wana wabunge wasomi, sidhani kama wananchi wamewachagua kwenda kuomba kuchapana ngumi, hili ni tatizo la kupeleka masela bungeni kuwa eti ndio watetezi. Lema ajiandae kukaa mtaani after 2015 election.

Kwani hao masela unaowaongelea hapo ni warundi au wanyarwanda? kuwa hawastahili kuingia bunge la Tanzania...
 
Back
Top Bottom