Daaaah unyonyaji wa hawa jamaa umezidi jmn serikali tuokoeni vijana wenu na hali hii unyonyaji ni mkubwa mpk tunajishtukia eeeh mola ikumbuke hii nchi yenye viongoz wasiojali raia zao bali kuwakumbatia wageni mishahara yao ni midogo eeeeh Mungu baba juu mbingun ckia vilio vyetu tuokoe na...
hahahahaha matangazo yakitoka hamtuambii ila mkiona chenga huko ndo mnakuja kuulizia wapigie simu uwaulize si una no yao waliokuitia kwa interview!humu ndani watu tumevurugwa!
secret service tehteh raia wamepanic
u dnt have to answer if u got no idea of it...4ur info these guys wanatoa matangazo frequently!!na nimeuliza hapa ili nipate feedback ya waliokwishapata!!4the record by the time nauliza hapa nilikuwa nimeitwa kwa interview na nilitaka details cse i was out of town
*****wise speak bse they have...
huu ni mfereji ambao unaopitia kiwanda cha pepsi na kuelekea Temeke hadi baharini na hapa ni kiwalani minazi mirefu ambapo mfereji huu umejaa uchafu kiasi hiki viongozi wa mtaa huu wameshindwa kuushughulikia wapo tu maoficn!je huu si mwanzo wa magonjwa na mvua hizi zjazo wakazi hawa...
13.kutongoza tongoza nje
14.kumnyima mke kuvaa nguo fulani wakat huko nje hukodoa macho kodo na kuwasifia wengine
15.kutoka bila kuaga wanaenda wapi
16.kwenda outing bila wake zao
namalizia kula kwanza nakuja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.