Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

wadau wakiona tangazo huko mitaani huwa wana'aply kimya kimya bila kutaarifu wadau humu, then baadaye wanakuja kuuliza humu, ".....mshahara sh ngapi?..... ''...short list tayari..?''

Utasikia ''hivi maswali gani wanapendelea kuuliza kwenye usaili''
 
Wadau naleta kwenu
Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!!
Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!

-------------------

jaman tutumieni hizo mambo kwenye email mbona kimyaa wakuuu....au mnataka kuapply wenyewe??.....yungsk90@yahoo.com
 
asante mkuu unaweza nitumia kwenye email hii nisome vizuri kelvinnyanja@gmail.com

Haya ni majanga mkuu!! Ina maana hapa huoni vizuri au? Si ucopy ujitumie mwenyewe!! Umetoa kali aisee..
 
Wadau naleta kwenu
Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!!
Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!

-------------------

mdau hizi post za tabora deadline ni lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom