ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
- Thread starter
- #41
ChecsoMatunda haya huwa hatuyaiti maumivu bali yanaitwa majukumu. Hivi tuseme ukweli; nani asiyependa mke (au girlfirend kwa wale ambao hawajaoa) wake apendeze humu ndani? Sasa kama unapenda mke apendeze unadhani atapendeza kwa maombi kwa mchungaji Kakobe au ya mzee wa upako? Lazima mwanamke aji-benchmark na wenzake na kisha afanye shopping ili kwenda na wakati. Vinginevyo huchelewi kusikia mwanaume mzembe akilalamika oooh mke wangu yuko shabby, ooh amepitwa na wakati na upuuzi mwingine kama huo. Mimi nikiwa na fedha huwa nampa hela ya kutosha shopping kwa moyo mweupe kabisaaaa. Nikiwa sina nikamwambia kuwa kwa sasa sina huwa anaelewa kwa urahisi na kwa moyo mweupe tu.
nadhani hapo bado huyo wako hajafikia kwenye ugonjwa akifika kwenye ugonjwa hutojadili kumpa pesa utakuta kishanunua au kakopa wakati nguo kama hizo anazo na anataka ukalipe deni tuu..