Nafasi za kazi kampuni ya kamali ya lotus valley dar es salaam (65 posts cashier)

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,392
3,017
Dedline date 18.8.2012
Starting date 20.8.2012
Contact 0719 078955
QUALIFICATIONS:
- O Level Certificate
- Certificate in accounting/Economics/Finance/Business/Social Science or related to the field will be an added advantage
- Computer skilss
- Good mathematical background
LANGUAGE
- Fluent in English and Swahili
RESPONSIBILITIES
- Management of daily cash box
- Provide customer with the accurate changes
- Term deposit transactions
- Assist the customers on how to use games machines
WORKING EXPERIENCE
Prier working in banking/micro would be an added advantage
HOW TO APPLY
All applications should be sent to our office located at Mwananyamala near to Mwananyamala Hospital Kambangwa Street House no 110
 
nimepita hapo but kama ni kwenye nyuma ya m2 japo ni ghorofa nje kuna wamasai but ni uswazi xana
 
Hawa jamaa wanaweka matangazo but ukiapply hakuna feedback yeyote! Acheni bac ku2zuga kama hamna kazi ya kufanya mlale!
 
mimi nilifanya interviwew dec 2012, nilipata kazi hii japo ilibaki nusu saa nisaini mkataba, nikawa nimepata dili lingine
walikuwa wanalipa net 300,000/=, NSSF wanakulipia, baada ya miezi sita kuna kuwepo bonus according to your perfomance, inaonekana mwanzoni walishindwa kuita watu wakawapa jukumu kampuni ya peoples power recruiting agency kufanya kazi,
 
Since 2012,bado kazi inakusubiri?

u dnt have to answer if u got no idea of it...4ur info these guys wanatoa matangazo frequently!!na nimeuliza hapa ili nipate feedback ya waliokwishapata!!4the record by the time nauliza hapa nilikuwa nimeitwa kwa interview na nilitaka details cse i was out of town
*****wise speak bse they have something important to say,stupid talk bse they jst have to say something!!
 
Me nilipata kazi hapo mwaka jana baada ya kuona tangazo lao zoom nikachukua namba ya simu na kumpigia hr anielekeze ilipo kweli nilifanikiwa kufika pale me na rafiki yangu baada ya kumwambia hr tumeleta cv alituchamba sana na kusema tunapelekaje kwa mkono wakat hao walitaka email tukakomaa na kumwambia vizur tulete kwa mkono tutakuwa na uhakika baada ya kutusema sn aliomba cv zetu baada ya kuvutiwa na cv na experience zetu akatupa kazi bila hata interview.
 
Shughuli ikawa kwenye kaz yenyewe sasa ni ya casino zinaitwa slot zipo pale sinza kumekucha magomeni mbagala n.k kazi haina tofaut na bar maid hr alituhasa tuwemakini na walevi coz tutakutana nao na watatusumbua km bar maid na hutakiwi kunywa pombe ukiwa kazn kaz yenyewe ni ya kuoperate zile machine za cassino mnaingia kwa shift asb mpk saa 12 wengine saa 12 mpk asubuh au mnaweza kupangiana 24hrs mtu mmoja ili kesho upumzike me niliacha siku ya pili tu ya training baada ya kuona hvyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom