Hawa erolink wamezidi jamani Serikali mpo wapi?

ndumaely

Member
Jul 11, 2012
28
0
daaaah unyonyaji wa hawa jamaa umezidi jmn serikali tuokoeni vijana wenu na hali hii unyonyaji ni mkubwa mpk tunajishtukia eeeh mola ikumbuke hii nchi yenye viongoz wasiojali raia zao bali kuwakumbatia wageni mishahara yao ni midogo eeeeh Mungu baba juu mbingun ckia vilio vyetu tuokoe na serikali hii iliyojaa walafi wa pesa na madaraka na kuacha wajibu wao kwa raia
 

Joo Wane

JF-Expert Member
Mar 14, 2007
599
1,000
Erolink wapi tena wa zamani au kuna wapya? Mbona nilisikia wamefungiwa na mkurugenzi wao kakimbia nchi.
 

ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
erolink wezi tuuu hawafai wanakula % kubwa zaid ya wewe ulieajiriwa

hawawezi kukimbia cos ya wakubwa wa lumumba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom