Recent content by nditi17

  1. nditi17

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

    Mkuu vip ulifanikisha ku pass aptitude test ya Alistair?
  2. nditi17

    JamiiForums Tanzania CRDB kupitia Uber yatoa mikopo ya magari kwa madereva

    Hii fursa kwa CRDB bado ipo kweli?
  3. nditi17

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

    Unataka uwe na mwanamke mmoja huyo ni mama ako mzazi?[emoji3][emoji3][emoji3] maana mama mzazi pekee ndiye mmoja hapa duniani, ukiwa uwezo wa kuwahudumia wanawake unaokuwa nao hakuna shida
  4. nditi17

    JamiiForums Tanzania Ivi bekitatu wanani jamani?

    [emoji3][emoji3][emoji3] kabisaaa mkuuu wale viumbe wa tofauti
  5. nditi17

    JamiiForums Tanzania Ivi bekitatu wanani jamani?

    Na ukumbuke pia ni wepesi wa kushika mimba,mkiwapa mimba tunawasubiri kuja kuomba ushauri
  6. nditi17

    JamiiForums Tanzania Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

    Mwalimu kashasha [emoji3]
  7. nditi17

    JamiiForums Tanzania Hii mpya: Tumia WhatsApp kwenye smartphone kama personal diary yako

    Hapana mkuu,kwa mtu mwenye uelewa juu ya hizo apps atajua tu hiyo vault ni umeficha vitu vyako,kuna app inaitwa audio manager kiukwel mkuu ukiwa nayo hiyo mtu sio rahisi kushtuka kama vile ni app ya kuweka vitu vya siri kwa maana ukiifungua mwanzo unakuta setting za kuongeza na kupunguza sauti...
  8. nditi17

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Ulichoongea ni sahihi
  9. nditi17

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nawasubiri wajuaji wa JF waje walete maneno yao
  10. nditi17

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ngoja nichukue seat yangu mapema
  11. nditi17

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu gani ambavyo unajuta kuvisoma...?

    Kama una soft copy mkuu ungezi upload tafadhali
  12. nditi17

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Shukran boss ngoj niinstall telegram
  13. nditi17

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu unaweza ukanisaidia vitabu hivyo nami niweze kupata maarifa juu ya FOREX TRADING?,natanguliza shukrani
  14. nditi17

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa mkopo tushauriane cha kufanya

    Hela yangu nliyoombea mkopo walah bora ningeinyea bia yaan
  15. nditi17

    JamiiForums Tanzania HESLB kuanza kupokea maombi ya mkopo kwa mwaka 2017/18 kuanzia Agosti 06

    Sidhan kama sasa zitakuwa ni siku 90 tena maana bwana badru alisema watajitahidi within 3 weeks wawe wametoa results za walio appeal
Back
Top Bottom