Tuliokosa mkopo tushauriane cha kufanya

Ukishakosa first year huwezi pata tena ukiomba ni ndoto nina rafiki yangu alikosa ,akaomba tena akaeka hadi vyeti vya vifo vya wazazi akanyimwa, na mm pia ni mhanga ndio maana nakuambia ,iyo pesa ya kuapply bora uile tu heslb washenzi
 
Hela yangu nliyoombea mkopo walah bora ningeinyea bia yaan
 
Ukishakosa first year huwezi pata tena ukiomba ni ndoto nina rafiki yangu alikosa ,akaomba tena akaeka hadi vyeti vya vifo vya wazazi akanyimwa, na mm pia ni mhanga ndio maana nakuambia ,iyo pesa ya kuapply bora uile tu heslb washenzi
Kuna ukweli wowote apaaa ......Fanya research yako vizuri mkuu...mbona wa mwaka Jana wamepata mwaka huu
 
Hakuna continuous yyte aliepata mkopo huu, incase hujanielewa namaanisha kuwa kama ulikosa loan last year na ukaaply upya mwaka huu hakuna jina lolote limetoka mimi pia nimeapply ila sijapata, kuna hadi wengine wameeka death certificate za wazaz ila wamekosa , ni ngumu kupata cause wana assume kama umesoma adi kumaliza mwaka wa kwanza iweje ushindwe kumalizia, so ndo perception yao, na pia kama ulivokua unaona majina wakitoa wanaandika "MAJINA YA WANUFAIKA WA MKOPO MWAKA WA KWANZA" hakuna walipoandika na wanaoendelea, ila kwa maneno ya wadau wanasema huenda wakawa wameanza yachambua jana kwa sisi tunaoendelea mwaka wa pili na tatu so tunasubiri ila tukiona muda unayoyoma basi hakuna budi kuappeal
 
Mbona udsm kuna majina ya continuous ya waluopata mkopo mkuu,hii batch ya nne,
 
Hakuna continuous yyte aliepata mkopo huu, incase hujanielewa namaanisha kuwa kama ulikosa loan last year na ukaaply upya mwaka huu hakuna jina lolote limetoka mimi pia nimeapply ila sijapata, kuna hadi wengine wameeka death certificate za wazaz ila wamekosa , ni ngumu kupata cause wana assume kama umesoma adi kumaliza mwaka wa kwanza iweje ushindwe kumalizia, so ndo perception yao, na pia kama ulivokua unaona majina wakitoa wanaandika "MAJINA YA WANUFAIKA WA MKOPO MWAKA WA KWANZA" hakuna walipoandika na wanaoendelea, ila kwa maneno ya wadau wanasema huenda wakawa wameanza yachambua jana kwa sisi tunaoendelea mwaka wa pili na tatu so tunasubiri ila tukiona muda unayoyoma basi hakuna budi kuappeal
majina ya continues students walioapply loan yanatoka wiki hii mwishoni...so ucseme kuwa continuing students hawapewi that's wrong nina uhakika wa asilimia 100 kuhusu nachokwambia wait not more than 4 days from today batch itatoka ya continues kama uliomba subir
 
Mkuu mimi mwenyewe uhakika ninao, mtu wa board kabisa ndio ameniambia kwamba continuous kupata ni a gamble , anyways kama mpaka sasa hivi haujapata bado kwenye allocation status inaandika ukate rufaa, hiyo ni kwa wote waliokosa , sasa je kwahiyo hayo majina yakitoka unataka kuniambia hiyo status itapotea?
 
Mmmh una uhakika? Bila shaka umesikia kwa ntu tu
Daah sory mkuu kama kama umeandika huku ukiataraji majibu yanayofanana,mi nipo apa udsm nimeyaona ayo majina,mana hata mimi mwenyewe ni mwaka wa kwanza jina langu limetoka awamu ya 4 so wameandika kabisa batch 4 continuous,but wory out ntapiga picha yale majina ya continuous then ntakutumia kesho panapo majaaliwa,
 
Mdogo wangu mm pia ni continuous hapo hapo ud, ila sijui nitafuatilia vizuriz yako mangapi?
 
Sikumbuki mangapi ila nenda pale yalipo bandikwa majina ya hostel na loan utayaona ya batch 4 ,then angalia vizuri mkuu may be yawezekana mm nikawa nakosea,so utanipa mrejesho mkuu,
 
Ok i think ni majina ya continuous ambao wamepata mkopo maana kawaida huwa wanabandikaga so sidhani kama ni ya walioaply upya, hivo tu
 
E

mwenyew nipo udsm majina ya continuous batch 4 yamebandikwa yapo kama,45
 
Yamebandikwa wapi? Loan allocation status yako inaonyeshaje? Je hayo majina ya continuous yalikua kwenye hizi pdf au yanajitegemea yenyewe? N kama unayo picha naomba
 
Hayo maswal kaulize waliobandika...mliopata continuous njooni muwaeleweshe wenzenu ..naona hawaamin amin
 
Yamebandikwa wapi? Loan allocation status yako inaonyeshaje? Je hayo majina ya continuous yalikua kwenye hizi pdf au yanajitegemea yenyewe? N kama unayo picha naomba
Kama upo udsm na hujui bas utakuwa unashinda bar...mbona majina yapo waz
 
Back
Top Bottom