Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Mara nyingi wanaume tumekua tukijigamba na kujiona vidume kwa kutembea na wanawake wengi.

Ukweli uliopo ni kwamba huu si ujanja bali ni kutojitambua thamani yako na kujirahisisha. Kila mwanamke anaekatiza mbele yako unamfungulia zipu. Hembu tuweni serious kidogo.

Chagua mmoja mnayeelewana mpange maisha na wengine wakikuona pia watambue unajiheshimu na huwezi thubutu kuwavua nguo.

Mwanaume wa kweli hachepuki.

Povu [emoji36] [emoji36] [emoji36] ruksa!
We mkuu,hivi kweli ni mwanaume wewe?
 
Halafu siku hizi wale ambao wamesha jijua wanao huwa wanaparamia wanawake/wanaume ili kuwaambukiza, sasa badala ya kushitukia eti wengine wanajiona wenye Bahati ya kupendwa [emoji87][emoji87][emoji87]
Jehova twakuomba uzidi kutunusuru watoto wako !
Yatuepuke Baba!
Sikio la kufa halisikii dawa, watasoma ila watapuuzia tu.
 
Unataka uwe na mwanamke mmoja huyo ni mama ako mzazi?[emoji3][emoji3][emoji3] maana mama mzazi pekee ndiye mmoja hapa duniani, ukiwa uwezo wa kuwahudumia wanawake unaokuwa nao hakuna shida
 
Waaaaambiiiieee Unakuta mwanaume Ana kibolo kama chá lemutuz lakini anaongoza kufungulia wanawake zipu mjionee aibu jaman hivyo vidude vyenu sio kila mtu mumuoneshe
Hao wengi wao ni waliobahatika kushika vijisent mtaani na maboss wasiojitambua.
 
Mfano ungekuwa ni wewe mtoa mada unaponyokaje hapa?
899ec9110e6b1a9681b5dd3a10aab75c.jpg
Si unaona jibu la kujirahisisha kabisa hilo. Ina maana huwezi chomoka hapo?

Maskini ndo msha banjuana tayari hivyo maana muda wa miadi ushapita.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi mtu akinipenda huwa narudisha upendo kwake maradufu siwezi kumwambia hapana
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mfumo umebadilika mkuu wakati huo walitegemea mashamba miaka hii tunategemea fedha ukiwa na ndoa mbili harali unachanganyikiwa ila mchepuko unaweza ukishindwa unamwambia leo imekaa vibaya atajiju akiludia kesho unabwaga kabisa tafuta mwingine
tofauti ya huo mchepuko na mkeo inakua wapi? Kwanin usiwe na huyo mmoja tu!?
 
Hapana Mkuu. Mi Sina tatizo na watoto wa kike!
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ngoja wajichanganye, najua kitakacho wapata wataleta mrejesho wenyewe. Nawapa wiki moja tu.
 
Unataka uwe na mwanamke mmoja huyo ni mama ako mzazi?[emoji3][emoji3][emoji3] maana mama mzazi pekee ndiye mmoja hapa duniani, ukiwa uwezo wa kuwahudumia wanawake unaokuwa nao hakuna shida
Mkuu una maanisha ndoa au michepuko?
 
inawezekana na hii ndo sababu ya lemutuz kuwa na kibamia yaani dyudyu yake kila anapochapa inaisha kama ufutio
 
tofauti ya huo mchepuko na mkeo inakua wapi? Kwanin usiwe na huyo mmoja tu!?
Tofauti ya mchepuko ni kuwa humhudumii vyote hakutegememei 100% mke unawajika kwake kwa 100% mchepuko ukiugua wanajua wazazi wake sivyo kwa mke hivyo basi ni vema kuwa na mchepuko na sio wake wawili mkuu
 
Mim ningependa kuatofauti kidogo ivi navojua mwanamme asiye na wanawake nje wanatendwa kuliko, waliye kua na mchepuko, ivi ni nin kinaleteleza hili litokee;??
 
Sasa tunajirahisisha kivipi hapo mkuu bado sijakupata pata hivi
 
Back
Top Bottom