CRDB kupitia Uber yatoa mikopo ya magari kwa madereva

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Habari Njema kwa madereva .CRDB kupitia UBER inatoa mikopo ya magari ya kufanyia biashara ya Uber kupitia mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 30000 kwa Siku baada ya hapo gari ni ya dereva.Mdhamini in Uber.Ili kupata mkopo huu sharti ufanye kazi na Uber.Hali hii imepelekea madereva wengi wa Uber kuyaacha magari ya mabosi na kukimbilia magari ya mkopo.Haya madereva changamkieni fursa hiyo.
 
Hizi uber na taxify (bolt) ni huduma nzuri. Ila tangu waanze mambo ya kichoko ya kutuzimia location ili watupige hela naamin idadi ya wateja itakua inapungua.

Hivi inakujae kampuni kubwa kama hizi zinashindwa kudhibiti wizi huo?

Btw, hongereni CRDB ni mpango mzuri kuwainua vijana wa kitanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo fursa mm naitafuta sana lkn nimekwama maana sielewi nianzie wapi mm kweli nipo Uber na nimeendesha gari ila kilichofanya niache kuendesha gari ni boss wangu mwenye gari naye kajiunga Uber hataki kuletewa hesabu ila kweli nahitaji gari ambayo nina uhuru nayo
 
Omba kaz kwenye makampuni kama umekiz vigezo vya udereva achana uber..

Back
Top Bottom