Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

Jana nimepata Email nimepass mzee baba nilikuwa nawatumia video ya briefing leo!
Yeah ukipita aptitude test yao ya maswali wanakutumia email kwa ajili ya briefing ya 2mnts hivi...na mimi niliishia stage hio hawakuwahi kunijibu tena from there
 
Yeah ukipita aptitude test yao ya maswali wanakutumia email kwa ajili ya briefing ya 2mnts hivi...na mimi niliishia stage hio hawakuwahi kunijibu tena from there
Ndio nasubiria kama watanijibia briefing yangu nimeshaituma
 
Mbaya kivipi jamani. Mimi nilifanya aptitude test yao ....mara ya kwanza. Nilisema hivi kampuni itakuwa inatoka mshahara mkubwa haya mambo ya kufanyishana mtihani online mbona mambo ya kizungu hivi. So nikawa nina hamu kweli nipate nafasi niajiriwe nao.

Basi nikafanya mtihani wao ila nili faili. Nilitumia kweli
 
😂😂😂 unahatari mkuu wajumbe wa neki ....umetshaaa
 
Wakuu naombeni mnipe hints za test ya hawa jamaa aisee nina 48 hrs za kuipiga hio mambo ila sijajua kwamba naenda kukutana na kitu gani ili niandae mashambulizi
Mimi nakushauri kama kutakuwa nahesabu ingia Google search " Indiabix" hawa wana applitude test za kumwaga za kila aina soma hapo ....wengi hata bank zetu Wanadesa huku nakujifanya wajanja.
 
Back
Top Bottom