Recent content by Ndeusoho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Unafiki na roho ya ukatili utaliingiza taifa kwenye machafuko. Amani tuliyo nayo ilitengenezwa kwa gharama kubwa ya kuhubiri upendo na kutenda haki. Tusitegemee ustawi wa nchi pasipo haki na upendo. Pia kumbukeni kuwa Mungu yupo. Asiyeamini akamuulize Herode.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimekerwa na uamuzi wa Acacia kupuuza ushauri wa Tundu Lissu na CHADEMA

    Haki ni muhimu ionekane inatendeka. Kwa vile ukweli unapigwa vita, hali kadhalika maendeleo ni ndoto. Nchi ikishikamana kwa wananchi wote kujitoa kwa moyo kwa ajili ya maendeleo tutafanikiwa. Endapo ushauri utaendelea kupigwa vita na ukweli kufumbiwa macho wataumia kwenye kubeza na wasiobezwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr slaa, kama kwenye ngazi ya chama tu umepotelea ulaya, itakuwaje ukiipata ikulu?

    simple minds discuss people
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya katiba yawahujumu wakatoliki;kura za kuchagua wajumbe wa mabaraza ya katiba wilaya kupigwa

    Mtu unapokuwa na Udini unakuwa kipofu. Hata mambo ambayo ni wazi kabisa huyaoni. Inaelekea hata uelewa wa dini ni mdogo. Acha Udini na pia acha kujikweza. Mfuasi yeyote wa Yesu Kristo anatunza matukio yote ya Pasaka. Katiba haina uhusiano na hujuma kwa Wakatoliki wala thread yako haina mshiko...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nani wanamshauri rais TZ? - Lazima tutafakari hili...

    ukweli ni huo na ni ushauri mazuri sana. Vinginevyo Hali ikiendelea kama ilivyo basi tujue imekula kwetu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Avoid being conclusive if you want to understand better. Patience pays.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    Maana yake ni kuwa kama unaona chama hakifai basi mchague mtu unayeona anafaa japo tunajua kwa unafiki wa wabunge wa chama tawala hatuna wagombea binafsi hivyo wote watatoka kwenye chama kimojawapo. Pia sikubaliani naye kuwa wabunge wa CCM na wa CDM ni sawa. Kwanza wa CCM wanayo dola na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara ametusikitisha

    Pole kwa wote ambao kwa njia moja au nyingine wameguswa na matukio haya. Mimi pia nilimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Mara akiongea na nilichokielewa ni kuwa nia yake ilikuwa kuwatoa wananchi hofu kama kiongozi wa serikali na pia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Pia alitoa ujumbe...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Some women's approach to men is amazing

    Huyu dada hakukutafuta ila wewe ndio ulimtafuta kwa kumpa ofa ya chakula na bado ukampa namba ya simu. Nadhani kwa kumpa namba ya simu ulitarajia kufanya mawasiliano nae. Mawasiliano ni sehemu ya kufahamiana na wakati mwingine kunasaidia kujifunza kutoka kwa wengine. Kitendo cha wewe kujitangaza...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii inanikera, nifanyeje?

    Mume ni kichwa cha nyumba. Mume asipoimiliki nafasi yake sawasawa kunakuwa na udhaifu wa mahusiano. Chukueni nafasi zenu kama viongozi wa nyumba. Pia msisahau kuwa Mungu amewataka wanawake wawatii waume zao na wanaume wawapende wake zao. Je mnawapenda wake zenu?? Jichunguzeni kwanza ili owte...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Ukweli ni kuwa aliyetoa wazo la dawa hii ametoa tahadhari kwa wale wenye presha ya kushuka. Ameshauri awe na kahawa ili kusaidia kuipandisha pale hali hiyo itakapotokea. Tutarajie feedback kutoka kwa wale watakaotumia japo hatujajua inaponyesha baada ya muda gani.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

    Wakati tunasoma historia tulizoea kusoma na kusikia "RISE and FALL of.....". Sasa kwa wale waandishi mahiri wanaweza kuanza kuandika historia ya "THE RISE AND FALL OF KOVA". Hakuna ubishi kitabu kitauzwa sana kwa sababu kachumbari zipo za kutosha kunogesha kitabu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mbunge aliemtaja polisi Kweka kushirikina na wahalifu.

    Pamoja na umuhimu wa kumtambua huyu ni vyema mtuhumiwa akafahamika. Kumwonyesha aliyetoa taarifa kunahatarisha usalama kwa njia moja au nyingine hasa ukizingatia wimbi lililojitokeza la kuwateka watu na kuwatesa. Mbunge huyu ni makini na anastahili sifa kwa vile anatuonyesha uzalendo alio nao...
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Pongezi za dhati ziwafikie viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kwa busara za hali ya juu za kutumia nguvu ya umma hadi nchi ikatetemeka. Kampeni zilikuwa zimeenda shule na zilikuwa za kistaarabu. Sijui kale kagazeti feki ka udaku wa kisiasa kinachoitwa UHURU safari hii kitaandika nini. Labda...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"

    Uandishi huu unatia shaka kwani mwanzoni ulionyesha kuwa hauna upande lakini baadaye unaonyesha dalili za kuwa upande fulani. Huu ni unafiki na wahenga wanasema ni Afadhali ya mchawi kuliko mnafiki. Nadhani CDM wamefanya kile kitu ambacho wenzao wa CCM wameshindwa kukifanya hadi wakafikia...
Back
Top Bottom