Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

Leo wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, mh Sugu amemtaka Afande Kova arudi tena 'studio' kurekodi upya 'filam' yake ya KUTEKWA KWA DK. ULIMBOKA! Hii imenifurahisha sana, cjui prodyuza wake ni nani!

Usalama wa Taifa Studio
 
Filamu ya Kova haujaeleweka kuhusu aliyemteka Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi, arudi tena studio- mhe. Sugu Joseph Mbilinyi.
Aibu kubwa sana sina hakika Mwema kama alikuwa Bungeni na kundi lake alijisikia vipi au mapolisi walijiandaa kisaikolojia na maswali makali ya Chadema ?
 
Filamu ya Kova haujaeleweka kuhusu aliyemteka Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi, arudi tena studio- mhe. Sugu Joseph Mbilinyi.

Wanajamii...Kova alichokusudia ""KAKIFANIKISHA"" jaribuni kutafakari.

Alichotaka ni KUZUIA mjadala wa Dr. Ulimbona ( kwa kupeleka Joshua Mkenya Mahakamani) na matukio yanayofanywa na jeshi la polisi kwenye mjadala wa bajeti ya wizara yake.

Kafanikiwa....atakuja kukiri kuwa kweli jamaa ni chizi, wanaendelea kutafuta wahusika. Katushinda akili hapo........

Uliwahi kuona wapi hapa Tanzania tukio kubwa kama lile likawa limefikishwa mahakamani ndani ya siku moja?? Bila hata mshtakiwa kupigwa picha, Nyie mnajua Jeshi letu la polisi linavyopenda ujiko.

Twendeni tukajadili mambo mengine.
 
hawajamtoa nje (nje kabisa ya mageti ya jengo la bunge)? Au wamegundua wao ndiyo wanawashwawashwa na siyo chadema?

chezea sugu weye...wajaribu waone, unakumbukumbu na ile kauli ya washikaji ile?? Sasa mwambie akate kauli ndo utamsoma..kile kipaji mkuu
 
Wakati tunasoma historia tulizoea kusoma na kusikia "RISE and FALL of.....". Sasa kwa wale waandishi mahiri wanaweza kuanza kuandika historia ya "THE RISE AND FALL OF KOVA". Hakuna ubishi kitabu kitauzwa sana kwa sababu kachumbari zipo za kutosha kunogesha kitabu.
 
Filamu ya Kova haujaeleweka kuhusu aliyemteka Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi, arudi tena studio- mhe. Sugu Joseph Mbilinyi.
Ni kweli arudi studio akafanye final editing, pia aweke na crew yake nitezima. akiwemo excutive producer, location manager, script writer, boom, music and sound, costumier, asistance director na director mwenyewe.
 
Leo wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, mh Sugu amemtaka Afande Kova arudi tena 'studio' kurekodi upya 'filam' yake ya KUTEKWA KWA DK. ULIMBOKA! Hii imenifurahisha sana, cjui prodyuza wake ni nani!

Nimeipenda sana hiyo
 
Back
Top Bottom